Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu saa sita tu hizo mbona mimi nimetembea mara nyingi tuKutembea kilometa 100 kwa siku moja ni ngumu sana. Fikiria mkimbiaji wa marathon anakimbia kilometa 42 Kwa masaa mawili.
Sasa huyo mkimbiaji km 100 anaweza kukimbia kwa saa sita.
Sasa ndo mtu wa kawaida atembee km 100 kwa siku moja??
Mkuu saa sita tu hizo mbona mimi nimetembea mara nyingi tu
Ooh sawa kumbe nilisoma vibayaRudia soma alichoandika. Amesema kuwa kama Marathon km 42 mtu anakimbia kwa Masaa mawili na dakika. 100km huyu mkimbiaji atakimbia masaa 6. Hapo tumeondoa vikwazo kama kuchoka nk.
Hakuna mtu anaweza tembea km 100 kwa siku
Kwa hiyo mtu akisema kwa kiingereza kuwa " You are smelling" , Kiswahili chake hapo tunasemaje kwa kutumia neno lililopo hapo juu? Na anayenukia ,na anayetoa harufu, kwa kiingeeza chake tutasemeaje, kwa kutumia maneno haya haya hapa juu kama ambayo umeyatafsiri wewe kwa Kiswahili?Hapana, usilaumu msamiati wa Kiswahili wakati wewe hujui Kiswahili.
Kunuka ni odour.
Scent ni kunukia.
Smell ni harufu.
English is a lingua franca that is a smorgasbord of a potpourri of a kaleidoscopic amalgamation of largely Indo-European languages.Kwa hiyo mtu akisema kwa kiingereza kuwa " You are smelling" , Kiswahili chake hapo tunasemaje kwa kutumia neno lililopo hapo juu? Na anayenukia ,na anayetoa harufu, kwa kiingeeza chake tutasemeaje, kwa kutumia maneno haya haya hapa juu kama ambayo umeyatafsiri wewe kwa Kiswahili?
Mimi kM 90 hizi nimezipiga Sana imagine Naanza Safari kuanzia saa kumi na moja Alfajiri hadi saa tano asubuhi
Then saa sita mchana Naanza tena kurudi home bush nafika saa Moja usiku
Ukiplus unapata kM 90 per OneDay
Kuna uwezekano mkubwa hujui umbali toka Mwanza hadi ButiamaNilitembea Mwanza mpaka butiama. mwaka 2009 kutimiza miaka 10 ya kifo cha nyerere.
Sasa wewe umezaliwa dar umekulia dar unaishi darMuongo huwezi.
hisabati zake ni pendelevu kwa hoja yake.Rudia soma alichoandika. Amesema kuwa kama Marathon km 42 mtu anakimbia kwa Masaa mawili na dakika. 100km huyu mkimbiaji atakimbia masaa 6. Hapo tumeondoa vikwazo kama kuchoka nk.
Hakuna mtu anaweza tembea km 100 kwa siku
pole mkuu.Haya maisha bwana, acha yaitwe maisha tuu!!
Ulishawahi tembea hadi lapa linatoboka?! Basi nilitembea umbali ambao nikikaa nikitafakari huwa nalia!! Namuambia Mungu asante, kila nikiangalia nilipo sasa nazidi kumtukuza Mungu kwa kweli.. Huwa tunatoka mbali mnoo!
mkuu umeanza vitisho sasa😡😡English is a lingua franca that is a smorgasbord of a potpourri of a kaleidoscopic amalgamation of largely Indo-European languages.
Everything depends on context.
Kuna watu wengi wamezaliwa London na hawajawahi kutoka London na hawajui Kiingereza.mkuu umeanza vitisho sasa😡😡
unajua ulichoandika hata mzungu ambaye hajawahi kutoka nje ya London tangu azaliwe hawezi kukuelewa 😁😁
boss wachungang'ombe wangekuwemo humu tungewaachia uzi. wale hata dodoma cairo kwa mguu wanazamaHivi jamani... Ifakara hadi Mkuranga ni KM ngap? Nawa-zoom tu wanaosema sijui KM 70, mara KM 100, mara sijui Kigogo hadi Tabata... Eti mmetembea umbali mrefu! nyie wote ni watoto wa mama.
hakuna watembeaji kam wachunga ng'ombe. (Ngoja tu nisiseme sana msije mkatengua kauli zenu kabla jogoo kuwika).