Mkuu Mkoa gani na huwa masika yanaanza lini...maana usitegemee sana vuli..Mimi mwezi ujao namwaga mbegu sijalima kwaajila ya biashara, nimekod ekar kidogo ata nikifeli sintakosa Cha kulisha familia pia nafanya majaribio maana sijawahi Lima kwenye huu mkoa
Amiin mkuu,ilitokea tu shamba nililiandaa mapema kabla ya october,sasa mvua nyingi zikachelewa kunyesha,hivyo zilivyoanza tu nikaona bora nipande kuliko kula hasara ya kutopanda kitu kabisa.Mkuu wewe ni jasiri, mimi nilivyoona kwenye maeneo ya Kilindi mpaka mwishoni mwa mwezi October vuli haijanyesha niliahirisha aise. Ila huenda Mungu akaweka mkono wake ukavuka salama
Mkuu hongera sana,mliopanda awamu ile ya kwanza hakika mna uhakika kiasi fulani cha kuvuna mahindi ya vuli,ila wengi tumepanda zile mvua za mwanzoni mwa october.Nilipanda tarehe 2 October ilinyesha Mvua moja tu nikaitumia kupanda nilinunua mbegu ya mahindi ya DK Nilipanda mifuko mitatu hayakuota vizuri kutokana na jua ila Mvua iliporudi nikanunua mfuko mmoja kurudishia kwa Sasa napalilia palizi ya pili na mahindi yako vizuri sana, niko muheza Tanga
Jamani mimi nimepanda yameota vinzur Sana ivi naweza nikaweka mbolea ya kuchomekea bira kupaliliaMvua saivi zimekuwa za makisio sana unaweza ukalima mvua ikanyesha kupitiliza kma mwakajana mhindi yanaoza au isinyeshe nyingi yan shida tupu yan tungekuwa na watabili wa hali ya hewa yakinifu tungekuwa na uthubutu mkubwa wa kulima.
Cha kusha uri kma unalima kwa ajili ya biashara bora uwe na eneo ambalo Lina kinzana na MTO au kisima in case of anything.
Hongera but muhHaya hapa. View attachment 1644849
Hapana. Lazima upalilie kwanza ndo uweke mbolea. Mahindi yako tangu yatoke yana siku ngapi? Kama ni zaidi ya wiki 2, weka mbolea ya kukuzia baada tu ya kupalilia. Usipopalilia jua utanenepesha na magugu ambayo yatadumaza hayo mahindiJamani mimi nimepanda yameota vinzur Sana ivi naweza nikaweka mbolea ya kuchomekea bira kupalilia