Tuliotoboa maisha kibishi tukutane hapa

Daah kazi ya shamba inakuingizia mil 3 mpaka 7 kwa mwezi, inamaana unalima na kuvuna na kuuza ndani ya mwezi dadeeeeki ngoja niendelee kujiuzia vocha tu
Nililima ufuta nilipata faida million kumi
Mtaji mzuri kabisa kama akili yako imetulia


Then nililima mpunga nilipata million nne


Bado kuuza mchele yaani unalangua na kuuza mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…