Oxx
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 896
- 1,946
Hongera sana ndugu yangu, umepiga hatua kubwa sana.......Morogoro mkuu
Upo Moro chimbo lipi Mzee.....?
Si pia tupo Moro sio mbaya tukipeana moja mbili tatu....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana ndugu yangu, umepiga hatua kubwa sana.......Morogoro mkuu
Chimbo la kilombero mkuuHongera sana ndugu yangu, umepiga hatua kubwa sana.......
Upo Moro chimbo lipi Mzee.....?
Si pia tupo Moro sio mbaya tukipeana moja mbili tatu....!
Kwa mwezi mkuuUnaingiza milioni tatu kwa mwezi au mwaka?
Hapana hujaelewa mkuu yaani re-investment unafanya mkuuDaah kazi ya shamba inakuingizia mil 3 mpaka 7 kwa mwezi, inamaana unalima na kuvuna na kuuza ndani ya mwezi dadeeeeki ngoja niendelee kujiuzia vocha tu
We jamaa si umemaliza six 2012 hahaHapana hujaelewa mkuu yaani re-investment unafanya mkuu
2015 mkuu wanguWe jamaa si umemaliza six 2012 haha
Nililima ufuta nilipata faida million kumiDaah kazi ya shamba inakuingizia mil 3 mpaka 7 kwa mwezi, inamaana unalima na kuvuna na kuuza ndani ya mwezi dadeeeeki ngoja niendelee kujiuzia vocha tu
Nimekuelewa mkuu safi sanaNililima ufuta nilipata faida million kumi
Mtaji mzuri kabisa kama akili yako imetulia
Then nililima mpunga nilipata million nne
Bado kuuza mchele yaani unalangua na kuuza mjini
Cha msingi malengo mkuuNimekuelewa mkuu safi sana
Acha uvivu wa kufikiria hapa nimesema kuwa sehemu ya kutoa uzoefu sio kuja PM
Mwenzako alianza hiviAcha uvivu wa kufikiria hapa nimesema kuwa sehemu ya kutoa uzoefu sio kuja PM
Muda ni mwalimu mzuri sana
Then ikafuata hiiMuda ni mwalimu mzuri sana
Huyo na mimi watu wawili tofauti
Na mimi sijasema ni mtu mmoja mkuu.Huyo na mimi watu wawili tofauti