Tuliotoboa maisha kibishi tukutane hapa

stori yako ina hamasisha kufanya kazi ila imekaa kikufikirika sana.

m5-7 kwa mwezi, alafu post # 30 unasema kilimo cha mpunga kilikupa faida ya 4m. asa kuna haja gani ya kulima ikiwa bishara inakupa faida iyo kwa mwezi.

mwaka huu mpunga bei ililega lega tsh 600 kwa kilo hivyo faida yake ilikuwa ndogo sasa ndo unapanda panda ila kadilio la m5-7 per month ni uongo
 
Shida hujaelewa. ...

Pia hujafanya field ya kutosha huna facts tulia mkuu

Waulize watu mwaka 2015 ufuta bei gani

Mahindi

Mpunga


Then faida fanya investment kwenye other sector mkuu
Nunua
Mashine za kusaga nafaka

Sema hapa niliogopa kuandika riwaya la joka la mdimu


Unaweza ona mazingaumbwe ila ukijua ukweli hata usumbuki

Na kipato sio static kila mwezi big no Ila ina range from 3 million 4 , 5 ,6 and 7 per month not every month chief
 
endelea kuwaza ipo siku ndoto itatimia, unaanza kunipa porojo za bei za mwaka 2015
 
Take you are time mkuu wala sina makuu na wewe nipo na maisha yangu na yanaenda good tuuu wala sina shida na mtu pambana kivyako
mkuu nilicho kwambia kizingatie, lazima uwe na ndoto ili kufikia malengo shida yako wewe ndoto yako unaota usha fikia malengo

iyo itakushusha morali ya kupambana maana tayar utaona umefanikiwa kumbe ni ndoto tu.
 
mkuu nilicho kwambia kizingatie, lazima uwe na ndoto ili kufikia malengo shida yako wewe ndoto yako unaota usha fikia malengo

iyo itakushusha morali ya kupambana maana tayar utaona umefanikiwa kumbe ni ndoto tu.
Ndoto wakati tayari nipo ndani ya field inakuaje ndoto mkuu....

Ndoto means bado practice bado sasa mimi nipo field saivi naendelea kupambana......


Labda sijui wewe huko kitaaa
 
Baada ya chuo niliingia kitaa...!!nikaanza biashara ya cd plus kuingza nyimbo na mazaga ya cm

Mtaji ulipukutika kwa 7b ya matumizi mabaya plus dem pia(nilikuw deep kweny love n girl flan) so nilkuwa najtoa sana kumjali

Then ikafuata break up...japo nliumia ila ilibidi nimuache

Ndipo nlpoanza kuzitafta pesa kwa udi na uvumba....niliweka vocha za kurusha kweny frem flan ambyo familia walliiacha baada ya kufilisi mtaji

Vocha zkakuuza mtaji...nkaongza bidhaa nyngne dkan na nlipanga kuamsha duka la reja

Nikaongeza juhud kwenye kazi za ufundi simu ili nipate mtaji zaidi...

Nakiri mwanzo ilikuw ngum...ila now liko vizuri....na nnaona njia mbele yngu

Kwa sasa wazo la dem na kuajiriwa nmepoteza kichwan....mitego inakuja mingi dukan ila naikwep
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…