mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Poa poa mkuu,pamoja.Wa Leo huu mkuuView attachment 959731
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa mkuu,pamoja.Wa Leo huu mkuuView attachment 959731
Usijali mkuuPoa poa mkuu,pamoja.
Shida hujaelewa. ...stori yako ina hamasisha kufanya kazi ila imekaa kikufikirika sana.
m5-7 kwa mwezi, alafu post # 30 unasema kilimo cha mpunga kilikupa faida ya 4m. asa kuna haja gani ya kulima ikiwa bishara inakupa faida iyo kwa mwezi.
mwaka huu mpunga bei ililega lega tsh 600 kwa kilo hivyo faida yake ilikuwa ndogo sasa ndo unapanda panda ila kadilio la m5-7 per month ni uongo
endelea kuwaza ipo siku ndoto itatimia, unaanza kunipa porojo za bei za mwaka 2015Shida hujaelewa. ...
Pia hujafanya field ya kutosha huna facts tulia mkuu
Waulize watu mwaka 2015 ufuta bei gani
Mahindi
Mpunga
Then faida fanya investment kwenye other sector mkuu
Nunua
Mashine za kusaga nafaka
Sema hapa niliogopa kuandika riwaya la joka la mdimu
Unaweza ona mazingaumbwe ila ukijua ukweli hata usumbuki
Na kipato sio static kila mwezi big no Ila ina range from 3 million 4 , 5 ,6 and 7 per month not every month chief
Take you are time mkuu wala sina makuu na wewe nipo na maisha yangu na yanaenda good tuuu wala sina shida na mtu pambana kivyakoendelea kuwaza ipo siku ndoto itatimia, unaanza kunipa porojo za bei za mwaka 2015
mkuu nilicho kwambia kizingatie, lazima uwe na ndoto ili kufikia malengo shida yako wewe ndoto yako unaota usha fikia malengoTake you are time mkuu wala sina makuu na wewe nipo na maisha yangu na yanaenda good tuuu wala sina shida na mtu pambana kivyako
Ndoto wakati tayari nipo ndani ya field inakuaje ndoto mkuu....mkuu nilicho kwambia kizingatie, lazima uwe na ndoto ili kufikia malengo shida yako wewe ndoto yako unaota usha fikia malengo
iyo itakushusha morali ya kupambana maana tayar utaona umefanikiwa kumbe ni ndoto tu.
Ili uibe ideal zakeMkuu ungeeleza na kazi/biashara au shughuli unayozofanya thread ingekua bomba zaidi..hata kwa uchache ili watu tujifunze
Walioandika huo msemo walimaanisha in dollarsmkuu acha kujitoa kwenye kundi la mamilionea
"to be a millionaire you must atleast be able to own two milions"
Hongera nataka nije unifundishe kwa vitendo mkuu yaani unipe sehemu namimi nianze kuhangaika huku unaiona.Morogoro mkuu
ha ha ha ha ha ha
False... if u own hata interms of tsh ur a millionaireMilionaire in term of dollar mzee ndo unakuwa millionaire sio hizi za madafu tajiri mwenzangu.
Wa Leo huu mkuuView attachment 959731