Tuliotukanwa hapa tuliposema kuwa Simba SC kuna Tatizo Kubwa tunaomba Kuombwa Msamaha

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Na mkimaliza kutuomba huo Msamaha mkubali kuwa kuna Watu Wengine hapa JamiiForums wanayajua yale ya Ndani yaliyojificha zaidi yenu hivyo wakiwa wanayasema hapa JamiiForums muwe mnawashkuru na ikiwezekana hata kuwapigia Saluti sawa?

Mimi ndiyo MINOCYCLINE The Chief!!!
 
Mo naye amezidi kususasusa kama binti kigoli, akae pembeni maisha yaendelee.
Kila siku ujanjaujanja hauishi, kwa sasa Simba wanaohitaji kuwekeza ni wengi maana imeshaongeza thamani yake.
 
Na mkimaliza kutuomba huo Msamaha mkubali kuwa kuna Watu Wengine hapa JamiiForums wanayajua yale ya Ndani yaliyojificha zaidi yenu hivyo wakiwa wanayasema hapa JamiiForums muwe mnawashkuru na ikiwezekana hata kuwapigia Saluti sawa?

Mimi ndiyo MINOCYCLINE The Chief!!!
Anataka kuuza hisa zake mlizompa kwa mali kauli na amlambi ata mia si mlimuamini sasa kawageuzia kibao b.20 azionekani zilipo na yeye anadai mambo yote yapo kimaandishi na alishawawekea mpunga wenu habari za ziliwekwa benk gani yeye ajui mliwezaje kumpa hisa bila kuhakikisha pesa imeingia🤣🤣🤣
 
Unaota
 
Back
Top Bottom