NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 1,323
- 1,608
Basi ujue kachawi hako. Hakaogopi mtu.kama jiji kama dodoma wanapopasifia kuwa pamepangwa bado kuna double allocation, itakuaje kwa hapa DSM? na kwa nini hii issue ya double allocation imekuwa wimbo wa miaka mingi sana? kama wanashindwa kutatua kazi wengine, si wapishe watu wengine wakae viti vyao? makamishna wa mikoa miungu watu, kama hako kafupi ka dodoma. analalamikiwa na kila mtu lakini serikali bado inaye tu.