Tulioumizwa viwanja Jiji & Kamishna Mkoa Dodoma 2024 tukutane hapa!

Basi ujue kachawi hako. Hakaogopi mtu.
 
CHURA hana muda wa kutetea watanganyika tujipange sana.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
CHURA hana muda wa kutetea watanganyika tujipange sana.
KAZI ni kipimo cha UTU
kwa kweli mwaka huu kama hatamfuta kazi Kamishna wa ardhi Mkuu pamoja na kamishna wa ardhi Mkoa wa Dodoma, nitashangaa sana. wameshindwa kazi kabisa, hatuwaonei ila naamni watu wengine wangeshika nafasi zao migogoro ya ardhi ingeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…