Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

Heeeeeh hatareeeeeh sana,
 
Nimejaa tele Imany. Ila ID yako kama mpya hivi 😏😏
Hapana hii ya sie wakongwe,sema umeona nimepewa bedge ya verified muda so niliwapa majina yangu halali,sema umeadimika hauko active kama zamani.
 
Kwahiyo uliishia kunyoa tu??[emoji15][emoji15]
 
Hapana hii ya sie wakongwe,sema umeona nimepewa bedge ya verified muda so niliwapa majina yangu halali,sema umeadimika hauko active kama zamani.
Nikumbushe basi ilivyokuwa mwanzo 🙂
Naingia karibu kila siku sema tu mada za kuchangia ni kama sizioni 🥴🥴 so naishia kusoma most of the time.
 
Kuna waliokula wa kinyarwanda watoto wa kunyaza [emoji16], kuna kabila moja kule brazil wanafanana kwa kunyaza [emoji16]
 
Kama mashindano basi ni UEFA

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…