Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

Samaraizi plz
Kiharaka haraka, Nilitembea na wanawake

Wakenya - 4
Waithopia - Idadi siikumbuki, ni wengi sana (including calll girls)
Wanigeria - Idadi siikumbuki pia ni wengi (including call girls)
Walebanon - 5
Tunisia - 2
Egypt - 1
Syria - 2
Indians - 4
Waghana - 3
Waphilipins - ni wengi idadi sikumbuki
Somalia - 3
British - 1
Russia - 1
Wabongo - 2
Zanzibar - 2

Regret yangu kubwa ni kuwa nilishindwa kubandua Muarabu wa U.A.E japokua nilikuja close kma mara 3 hivi. Yani hilo jambo ni dissapointing kubwa sana aisee.
 
Mademu Wa kizungu huwa wanapenda tu show za kiafrika kama burudani ila sipo kuolewa. Akiolewa na mwafrika ni aibu sana kwao tena sana sema nyie hamjui wazungu wanavyotuchukuliaga jamani. Wanajua sie ni wavivu Wa kufanya kazi ila kazi tunayoweza ni kuzaana na kuchakata papuchi. Yaani tunanyanyapaliwa ile mbaya kwao. Binti inakuwa hayuko proud kukutambulisha kwa wenzake marafiki. Inaonekana kaenda kwa race ama illite societies. Kaenda kwa race masikini sana ambayo ni duni ambayo hawana akili. Mara race sawa na ya nyani.
Wale wanaolewa na blacks wengi ni madunga yembe I.e marketlesss. Wanaochezaga makasino ama barmaids ama waiters.
Ila kung'oa kabisa kisu kama kisu familia tajiri wanaojitambua na wenye hadhi na mgongane na vijana Wa kizungu afu binti aje kwako ni ngumu sana kati ya laki walioelewa ni mmoja tu ndo akaolewa na blacks.
Karibu kwa maoni
Fact
 
Niliwahi date na dada kutoka Italy,alinisumbua sana kwakweli...ila jambo moja tu,wanakuwa na upendo wa dhati kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shusha [emoji406]sasa kuhusu huyo ubaridi.
nlichoambulia ni ule utelezi tu[emoji16].....
siwez sahau nlihis kama ni uchawi kmbe ndo hali ilivyo..[emoji2089][emoji2089]
 
Kiharaka haraka, Nilitembea na wanawake

Wakenya - 4
Waithopia - Idadi siikumbuki, ni wengi sana (including calll girls)
Wanigeria - Idadi siikumbuki pia ni wengi (including call girls)
Walebanon - 5
Tunisia - 2
Egypt - 1
Syria - 2
Indians - 4
Waghana - 3
Waphilipins - ni wengi idadi sikumbuki
Somalia - 3
British - 1
Russia - 1
Wabongo - 2
Zanzibar - 2

Regret yangu kubwa ni kuwa nilishindwa kubandua Muarabu wa U.A.E japokua nilikuja close kma mara 3 hivi. Yani hilo jambo ni dissapointing kubwa sana aisee.
Hao wanawake utamu ni mmoja?
 
Mimi nilikula mtoto wa South Africa ila ni mzulu ,wanajua kupenda na nilikuwa napewa USD kila wakati ila ni walevi na wavuta sigara sana pia ni wakorofi .Ila figure ni hatari sana na wananguvu sana kwenye sex.Pia nilipata mtoto wa swaziland naye alikuwa mweusi.
 
Back
Top Bottom