Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Mimi nimewahi kuacha Chuo X Mkoa fulani nikiwa naingia Mwaka wa pili, na sababu za kuacha Chuo ni majibu mabovu niliyopokea kutoka kwa Admission Officer fulani ambae hakunijibu vizuri, and I was very disappointed nikachua maamuzi ya kuachana na kile Chuo. Kuanzia siku ile niliacha Chuo rasmi na sikurudi tena Chuoni mpaka leo.
Nika-apply Chuo kingine nikaendelea na masomo mengine sio yale tena sababu nina qualifications nyingi. Huku sasa ndio nikakuta kuna watu wanapenda kuacha Chuo zaidi yangu. Watu wengi niliosoma nao Chuo B course Y isiyokua na jinsia ya kike kwa wingi yaan madume 20 jike lipo moja tu Class zima waliacha Chuo, wengine walihama Chuo sababu ya mziki waliokua wanakutana nao wanaona Chuo ni kigumu mambo sio mambo CA hazisomi unatakiwa uwe na 25 wewe una 3, wengine sababu zao binafsi unasoma unafanya biashara bora uache Chuo ufanye biashara na Maisha mengine yaendelee.
Tuambie wewe uliachaje Chuo au km una kisa cha mtu alieacha Chuo tuelezee ilikuaje? Tushirikishe.
Dropouts.