Tuliowahi kuacha Chuo na tuliowahi kushuhudia watu wakiacha Chuo. Tukutane hapa.

Bueno

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2022
Posts
34,600
Reaction score
59,760
Mimi nimewahi kuacha Chuo X Mkoa fulani nikiwa naingia Mwaka wa pili, na sababu za kuacha Chuo ni majibu mabovu niliyopokea kutoka kwa Admission Officer fulani ambae hakunijibu vizuri, and I was very disappointed nikachua maamuzi ya kuachana na kile Chuo. Kuanzia siku ile niliacha Chuo rasmi na sikurudi tena Chuoni mpaka leo.

Nika-apply Chuo kingine nikaendelea na masomo mengine sio yale tena sababu nina qualifications nyingi. Huku sasa ndio nikakuta kuna watu wanapenda kuacha Chuo zaidi yangu. Watu wengi niliosoma nao Chuo B course Y isiyokua na jinsia ya kike kwa wingi yaan madume 20 jike lipo moja tu Class zima waliacha Chuo, wengine walihama Chuo sababu ya mziki waliokua wanakutana nao wanaona Chuo ni kigumu mambo sio mambo CA hazisomi unatakiwa uwe na 25 wewe una 3, wengine sababu zao binafsi unasoma unafanya biashara bora uache Chuo ufanye biashara na Maisha mengine yaendelee.

Tuambie wewe uliachaje Chuo au km una kisa cha mtu alieacha Chuo tuelezee ilikuaje? Tushirikishe.

Dropouts.
 
Hapana ni ngumu kwakuwa muhuri unaenda na viapo vitatu, Saba au 12 na kuna kafara ya damu mbichi nyingi
Yaani Unatengwa rasmi na ulimwengu wa watu weka! Na mojawapo ya kiapo cha kurudia Mara saba ni kuapa kutokimbia kambi ama kutoa siri
Yaan unakua Mchawi kamili kisha unapigwa Muhuri wa Shetani kabisa si ndio mkuu?
 
Ukigundua kozi unayosoma haieleweki bora kuacha na kutafuta kozi iliyosimama mkuu .

Mimi Chuo bd Ila kuacha Shule Kama secondary ndo mimeona Sana .
 
Mimi nimewahi kuacha Chuo X Mkoa fulani nikiwa naingia Mwaka wa pili, na sababu za kuacha Chuo ni majibu mabovu niliyopokea kutoka kwa Admission Officer fulani ambae hakunijibu vizuri, and I was very disappointed nikachua maamuzi ya kuachana na kile Chuo. Kuanzia siku ile niliacha Chuo rasmi na sikurudi tena Chuoni mpaka leo.

Nika-apply Chuo kingine nikaendelea na masomo mengine sio yale tena sababu nina qualifications nyingi. Huku sasa ndio nikakuta kuna watu wanapenda kuacha Chuo zaidi yangu. Watu wengi niliosoma nao Chuo B course Y isiyokua na jinsia ya kike kwa wingi yaan madume 20 jike lipo moja tu Class zima waliacha Chuo, wengine walihama Chuo sababu ya mziki waliokua wanakutana nao wanaona Chuo ni kigumu mambo sio mambo CA hazisomi unatakiwa uwe na 25 wewe una 3, wengine sababu zao binafsi unasoma unafanya biashara bora uache Chuo ufanye biashara na Maisha mengine yaendelee.

Tuambie wewe uliachaje Chuo au km una kisa cha mtu alieacha Chuo tuelezee ilikuaje? Tushirikishe.

Dropouts.
Mimi pia niliacha chuo na sababu ya kuacha ilikuwa nilipata sup mbili na GPA haikuwa nzuri nikaona hata nikifanya mtihani wa sup sitoweza kufikisha GPA inayotakiwa so nikaamua kuacha chuo. Ushauri wangu kwa wanachuo ni mkienda chuo mfate kilichowapeleka muache ulimbukeni, muepuke mahusiano hasa ya mwanachuo kwa mwanachuo mwenzako huwa matokeo yake asilimia nyingi sio mazuri.
 
Hakika wamekuelewa mkuu, watafuata ushauri wako. GPA walikua wanataka ngapi 2.7, 3.0 au 3.5?
 
Mimi nimewahi kuacha Chuo X Mkoa fulani nikiwa naingia Mwaka wa pili, na sababu za kuacha Chuo ni majibu mabovu niliyopokea kutoka kwa Admission Officer fulani ambae hakunijibu vizuri, and I was very disappointed nikachua maamuzi ya kuachana na kile Chuo. Kuanzia siku ile niliacha Chuo rasmi na sikurudi tena Chuoni mpaka leo.

Nika-apply Chuo kingine nikaendelea na masomo mengine sio yale tena sababu nina qualifications nyingi. Huku sasa ndio nikakuta kuna watu wanapenda kuacha Chuo zaidi yangu. Watu wengi niliosoma nao Chuo B course Y isiyokua na jinsia ya kike kwa wingi yaan madume 20 jike lipo moja tu Class zima waliacha Chuo, wengine walihama Chuo sababu ya mziki waliokua wanakutana nao wanaona Chuo ni kigumu mambo sio mambo CA hazisomi unatakiwa uwe na 25 wewe una 3, wengine sababu zao binafsi unasoma unafanya biashara bora uache Chuo ufanye biashara na Maisha mengine yaendelee.

Tuambie wewe uliachaje Chuo au km una kisa cha mtu alieacha Chuo tuelezee ilikuaje? Tushirikishe.

Dropouts.
Tukueleze ili iweje?
 
unadeka sana majibu kidogo unaacha chuo
Mkuu yule Admission Officer ilibakia kidogo tu ningemtia mangumi, hiki Chuo B niliingia kwenye mgogoro na Msajiri (Registrar) mpaka ugomvi ukaja kuamuliwa na Babu bila hivyo napo ningepiga Chini tena nilikua Mwaka wa Mwisho karibia namaliza Mwaka wa 3 halafu Msajiri analeta mambo ya ajabu ajabu, unaweza ukampiga mtu mangumi msoto umepitia mwingi halafu mtu anakuja kukufanyia vitu acha tu
 
Ukamilifu wa kuwa mchawi kamili ni kama ordination ceremony inayoambatana na hayo niliyoyasema
Sio mchezo yote unayajua hayo mkuu inamaana na wewe una kilinge chako cha ulozi yaan hauchekeshi lakini upo live
 
Back
Top Bottom