Kuna waliacha kisa mapenzi.. Wengine day workerUzi mzuri sana. Kuna ujinga mwingi sana vijana wana fanya.
Hapana ni ngumu kwakuwa muhuri unaenda na viapo vitatu, Saba au 12 na kuna kafara ya damu mbichi nyingiMshana Jr ukipigwa muhuri unaweza kuacha?
Yaan unakua Mchawi kamili kisha unapigwa Muhuri wa Shetani kabisa si ndio mkuu?Hapana ni ngumu kwakuwa muhuri unaenda na viapo vitatu, Saba au 12 na kuna kafara ya damu mbichi nyingi
Yaani Unatengwa rasmi na ulimwengu wa watu weka! Na mojawapo ya kiapo cha kurudia Mara saba ni kuapa kutokimbia kambi ama kutoa siri
Ukamilifu wa kuwa mchawi kamili ni kama ordination ceremony inayoambatana na hayo niliyoyasemaYaan unakua Mchawi kamili kisha unapigwa Muhuri wa Shetani kabisa si ndio mkuu?
Kaka mambo magumu haya mtani.Hapana ni ngumu kwakuwa muhuri unaenda na viapo vitatu, Saba au 12 na kuna kafara ya damu mbichi nyingi
Yaani Unatengwa rasmi na ulimwengu wa watu weka! Na mojawapo ya kiapo cha kurudia Mara saba ni kuapa kutokimbia kambi ama kutoa siri
Mimi pia niliacha chuo na sababu ya kuacha ilikuwa nilipata sup mbili na GPA haikuwa nzuri nikaona hata nikifanya mtihani wa sup sitoweza kufikisha GPA inayotakiwa so nikaamua kuacha chuo. Ushauri wangu kwa wanachuo ni mkienda chuo mfate kilichowapeleka muache ulimbukeni, muepuke mahusiano hasa ya mwanachuo kwa mwanachuo mwenzako huwa matokeo yake asilimia nyingi sio mazuri.Mimi nimewahi kuacha Chuo X Mkoa fulani nikiwa naingia Mwaka wa pili, na sababu za kuacha Chuo ni majibu mabovu niliyopokea kutoka kwa Admission Officer fulani ambae hakunijibu vizuri, and I was very disappointed nikachua maamuzi ya kuachana na kile Chuo. Kuanzia siku ile niliacha Chuo rasmi na sikurudi tena Chuoni mpaka leo.
Nika-apply Chuo kingine nikaendelea na masomo mengine sio yale tena sababu nina qualifications nyingi. Huku sasa ndio nikakuta kuna watu wanapenda kuacha Chuo zaidi yangu. Watu wengi niliosoma nao Chuo B course Y isiyokua na jinsia ya kike kwa wingi yaan madume 20 jike lipo moja tu Class zima waliacha Chuo, wengine walihama Chuo sababu ya mziki waliokua wanakutana nao wanaona Chuo ni kigumu mambo sio mambo CA hazisomi unatakiwa uwe na 25 wewe una 3, wengine sababu zao binafsi unasoma unafanya biashara bora uache Chuo ufanye biashara na Maisha mengine yaendelee.
Tuambie wewe uliachaje Chuo au km una kisa cha mtu alieacha Chuo tuelezee ilikuaje? Tushirikishe.
Dropouts.
Hakika wamekuelewa mkuu, watafuata ushauri wako. GPA walikua wanataka ngapi 2.7, 3.0 au 3.5?Mimi pia niliacha chuo na sababu ya kuacha ilikuwa nilipata sup mbili na GPA haikuwa nzuri nikaona hata nikifanya mtihani wa sup sitoweza kufikisha GPA inayotakiwa so nikaamua kuacha chuo. Ushauri wangu kwa wanachuo ni mkienda chuo mfate kilichowapeleka muache ulimbukeni, muepuke mahusiano hasa ya mwanachuo kwa mwanachuo mwenzako huwa matokeo yake asilimia nyingi sio mazuri.
Tukueleze ili iweje?Mimi nimewahi kuacha Chuo X Mkoa fulani nikiwa naingia Mwaka wa pili, na sababu za kuacha Chuo ni majibu mabovu niliyopokea kutoka kwa Admission Officer fulani ambae hakunijibu vizuri, and I was very disappointed nikachua maamuzi ya kuachana na kile Chuo. Kuanzia siku ile niliacha Chuo rasmi na sikurudi tena Chuoni mpaka leo.
Nika-apply Chuo kingine nikaendelea na masomo mengine sio yale tena sababu nina qualifications nyingi. Huku sasa ndio nikakuta kuna watu wanapenda kuacha Chuo zaidi yangu. Watu wengi niliosoma nao Chuo B course Y isiyokua na jinsia ya kike kwa wingi yaan madume 20 jike lipo moja tu Class zima waliacha Chuo, wengine walihama Chuo sababu ya mziki waliokua wanakutana nao wanaona Chuo ni kigumu mambo sio mambo CA hazisomi unatakiwa uwe na 25 wewe una 3, wengine sababu zao binafsi unasoma unafanya biashara bora uache Chuo ufanye biashara na Maisha mengine yaendelee.
Tuambie wewe uliachaje Chuo au km una kisa cha mtu alieacha Chuo tuelezee ilikuaje? Tushirikishe.
Dropouts.
Ni magumu na ni mazitoKaka mambo magumu haya mtani.
Mkuu yule Admission Officer ilibakia kidogo tu ningemtia mangumi, hiki Chuo B niliingia kwenye mgogoro na Msajiri (Registrar) mpaka ugomvi ukaja kuamuliwa na Babu bila hivyo napo ningepiga Chini tena nilikua Mwaka wa Mwisho karibia namaliza Mwaka wa 3 halafu Msajiri analeta mambo ya ajabu ajabu, unaweza ukampiga mtu mangumi msoto umepitia mwingi halafu mtu anakuja kukufanyia vitu acha tuunadeka sana majibu kidogo unaacha chuo