Nakumbuka kumpeleka fundi saa kufika shule akasahau jina langu... Dah... Nilikiona cha motoNakumbuka niliagizwa mzazi na mkuu wa shule baada ya kufanya kosa fulani, nikatafakali nikaona kama nikimpeleka babangu tukifika tu lazima yeye ndo atakua wa kwanza kunipiga mana baba yangu kwa kupenda sifa za kugawa kipigo nikaona bora nimpange jamaa mmoja nashukulu lilisovika vizur.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lohNakumbuka kumpeleka fundi saa kufika shule akasahau jina langu... Dah... Nilikiona cha moto
Nakumbuka niliagizwa mzazi na mkuu wa shule baada ya kufanya kosa fulani, nikatafakali nikaona kama nikimpeleka babangu tukifika tu lazima yeye ndo atakua wa kwanza kunipiga mana baba yangu kwa kupenda sifa za kugawa kipigo nikaona bora nimpange jamaa mmoja nashukulu lilisovika vizur.
Mkuu toka nikufahamu leo ndio nimeona kumbe kuna wakati uliwahi kua mnyonge na mtu akakuonea japo kwa kupanga nyie wenyewe, hahahaaMimi nilimpeleka Mtu ' Feki ' na nakumbuka tulikubaliana vizuri tu, nikamtoa hadi na ' mtonyo ' kiaina na kujiaminisha kuwa nimemuweza Headmistress Wetu na nikawa natamba kabisa ( ila siyo kama Aslay katika Wimbo wake ) lakini cha kushangaza nilipoingia nae tu Yule Mtu ' Feki ' katika eneo la Shule alinichenjia pale pale na badala sasa ya kuwa ' Mtetezi ' wangu kama tulivyokubaliana akageuka kuwa ' Pilato ' wangu na sijawahi kupigwa Viboko vya Kikatili / Kishalubela kama ambavyo nilipigwa Siku ile na hadi leo hii na Utu uzima wangu huu zile mboko / bakora / fimbo kuna muda huwa nazisikia maumivu yake na ' sometimes ' huwa naziota pia. Tokea Siku hiyo nilishika adabu zangu zote!
hahahaaa hera yako alikuludishia ?Mimi nilimpeleka Mtu ' Feki ' na nakumbuka tulikubaliana vizuri tu, nikamtoa hadi na ' mtonyo ' kiaina na kujiaminisha kuwa nimemuweza Headmistress Wetu na nikawa natamba kabisa ( ila siyo kama Aslay katika Wimbo wake ) lakini cha kushangaza nilipoingia nae tu Yule Mtu ' Feki ' katika eneo la Shule alinichenjia pale pale na badala sasa ya kuwa ' Mtetezi ' wangu kama tulivyokubaliana akageuka kuwa ' Pilato ' wangu na sijawahi kupigwa Viboko vya Kikatili / Kishalubela kama ambavyo nilipigwa Siku ile na hadi leo hii na Utu uzima wangu huu zile mboko / bakora / fimbo kuna muda huwa nazisikia maumivu yake na ' sometimes ' huwa naziota pia. Tokea Siku hiyo nilishika adabu zangu zote!
hahahaaa hera yako alikuludishia ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya niongeze cku zangu za kuishi leo.Baada ya kunipa kile ' Kichapo ' akatoka nje ya Geti la Shule akaenda zake kujiburudisha nayo kwa kununua Chips, Coca Cola baridi na chenji iliyobaki alimuhonga Mwanamke pale pale ' Baa ' akaenda ' Kumbandulia ' nayo. Iliniuma sana Mkuu na siku ile ile Mimi na Yeye Urafiki uliisha na hadi hivi leo tumebaki kuwa kama Israeli na Palestina.
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kunipa kile ' Kichapo ' akatoka nje ya Geti la Shule akaenda zake kujiburudisha nayo kwa kununua Chips, Coca Cola baridi na chenji iliyobaki alimuhonga Mwanamke pale pale ' Baa ' akaenda ' Kumbandulia ' nayo. Iliniuma sana Mkuu na siku ile ile Mimi na Yeye Urafiki uliisha na hadi hivi leo tumebaki kuwa kama Israeli na Palestina.