Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
ulikuwa zuzumagicNakumbuka niliagizwa mzazi na mkuu wa shule baada ya kufanya kosa fulani, nikatafakali nikaona kama nikimpeleka babangu tukifika tu lazima yeye ndo atakua wa kwanza kunipiga mana baba yangu kwa kupenda sifa za kugawa kipigo nikaona bora nimpange jamaa mmoja nashukulu lilisovika vizur.
hera = helahahahaaa hera yako alikuludishia ?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mimi nilimpeleka Mtu ' Feki ' na nakumbuka tulikubaliana vizuri tu, nikamtoa hadi na ' mtonyo ' kiaina na kujiaminisha kuwa nimemuweza Headmistress Wetu na nikawa natamba kabisa ( ila siyo kama Aslay katika Wimbo wake ) lakini cha kushangaza nilipoingia nae tu Yule Mtu ' Feki ' katika eneo la Shule alinichenjia pale pale na badala sasa ya kuwa ' Mtetezi ' wangu kama tulivyokubaliana akageuka kuwa ' Pilato ' wangu na sijawahi kupigwa Viboko vya Kikatili / Kishalubela kama ambavyo nilipigwa Siku ile na hadi leo hii na Utu uzima wangu huu zile mboko / bakora / fimbo kuna muda huwa nazisikia maumivu yake na ' sometimes ' huwa naziota pia. Tokea Siku hiyo nilishika adabu zangu zote!
Umenikumbusha mbali kakaDuuh mchezo huo alikuwa nao headmaster wa popatlal Tanga marehemu Chaudry basi kuna siku aliletewa muhudumu wa bombo hospital na jamaa yetu mmoja wakati baba yake alikuwa headteacher mkwakwani primary ilikuwa kashehe kwenye kuelewana lugha haipandi kwa mhudumu.
We nini bana, wenzako tuliagizwa tupeleke wazee, tukawapanga vizuri marafiki zetu, kufika shule jamaa akaambiwa mwanao hana adabu itabidi uanze mwenyewe kumcharaza bakora. Jamaa tulipanga vizuri, nikaona kweli anaanza kunicharaza, kufika cha sita nikamwambia "mwanangu unaharibu" akajibu vumilia, dadeki kufika cha kumi, niliruka samasoti moja kali sana, kickboxer mixer[emoji13] [emoji13] dadeki hapo ndio alijua kwanini wamakonde si watu wa pwani wakati Mtwara kuna bahari [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Nakumbuka niliagizwa mzazi na mkuu wa shule baada ya kufanya kosa fulani, nikatafakali nikaona kama nikimpeleka babangu tukifika tu lazima yeye ndo atakua wa kwanza kunipiga mana baba yangu kwa kupenda sifa za kugawa kipigo nikaona bora nimpange jamaa mmoja nashukulu lilisovika vizur.
Hahahahaaaa, najua kilichofata ni saspeshenWe nini bana, wenzako tuliagizwa tupeleke wazee, tukawapanga vizuri marafiki zetu, kufika shule jamaa akaambiwa mwanao hana adabu itabidi uanze mwenyewe kumcharaza bakora. Jamaa tulipanga vizuri, nikaona kweli anaanza kunicharaza, kufika cha sita nikamwambia "mwanangu unaharibu" akajibu vumilia, dadeki kufika cha kumi, niliruka samasoti moja kali sana, kickboxer mixer[emoji13] [emoji13] dadeki hapo ndio alijua kwanini wamakonde si watu wa pwani wakati Mtwara kuna bahari [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]