We nini bana, wenzako tuliagizwa tupeleke wazee, tukawapanga vizuri marafiki zetu, kufika shule jamaa akaambiwa mwanao hana adabu itabidi uanze mwenyewe kumcharaza bakora. Jamaa tulipanga vizuri, nikaona kweli anaanza kunicharaza, kufika cha sita nikamwambia "mwanangu unaharibu" akajibu vumilia, dadeki kufika cha kumi, niliruka samasoti moja kali sana, kickboxer mixer[emoji13] [emoji13] dadeki hapo ndio alijua kwanini wamakonde si watu wa pwani wakati Mtwara kuna bahari [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]