Tuliowahi kuagizwa Mzazi shuleni tukaleta wazazi feki tukutane hapa.

Yallah mbavu zangu si kwa kucheka huku wallahi
 
Ahahahaha nimecheka sana, ulifanya kosa gani mkuu? Na wakati huyo mjeda anakupiga hiyo mikwara reaction ya walimu ilikuwaje? Je siku ya pili ulipokwenda shule walimu walikuambiaje?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana
 
Kun dogo juzi kaagizwa mzazi akaleta mvuta bangi mwenzie.

Tukamstukia tukamwambia inabidi amuadhibu mdogo wake, Jamaa akamshushi kipigo dogo hadi dogo alajikuta anaropoka kuwa huyo sio ndugu yake ni amemuokota tu. Tulicheka sana.
hahhahahahaha ticha tabia mbaya iyo
 
hahahahahaha si kweli
 
Ukiona umeweza kuleta Mzazi fake jiulize mzazi wako alikuwa anafanya nini kama hata walimu hawamjui. Wewe si umelelewa na Jamii sasa
 
Hahahahaha, dah mkuu mwenyewe ilinitokea kama ilivyokutokea, asee yule mzee aliniramba bakora hadi nikakataa kumpa hela tuliyokubaliana na nikamwambia kama akitaka aende kushtaki. Stakaa nimsahau yule mzee.
 
Ukiona umeweza kuleta Mzazi fake jiulize mzazi wako alikuwa anafanya nini kama hata walimu hawamjui. Wewe si umelelewa na Jamii sasa
Poa tu mkuu, kulelewa nako mbona Sawa tu, tofauti yako wewe uliyelelewa na wazazi na sie sio kubwa sana hata hivyo.
 
Long time ago hiyo... nilimpeleka mmama alikua anasoma elimu ya watu wazima daah si akaambiwa anichape bhana akawa anaogopa kucheki vizuri list ya waalimu kuna mmoja home anapajua mpk bi mdashi akachongea kwa wenzake daah ikabidi nipandishe mori nisipigwe maana zilikua stick za kibabe na kosa lilikua kubwa full kufolenishwa ma dent kibaooo na waalimu chapaa eti watupige, thubutuuuuuuu.
 
Story yako imeishia kati eenh baada ya vibao ndio ukajitaja halafu ikawajeee???
 
ina mana humu hamna aliyewahi kua mzazi feki atupe nae ushuhuda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…