titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Skuizi mashuleni wanakuwa na picha ya wazazi kabisa kwenye file lako.Hivi hadi leo kuna haka kamchezo nijiongezee tu ajira twa kuwa mzazi feki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Skuizi mashuleni wanakuwa na picha ya wazazi kabisa kwenye file lako.Hivi hadi leo kuna haka kamchezo nijiongezee tu ajira twa kuwa mzazi feki
Yallah mbavu zangu si kwa kucheka huku wallahiMimi nilimpeleka Mtu ' Feki ' na nakumbuka tulikubaliana vizuri tu, nikamtoa hadi na ' mtonyo ' kiaina na kujiaminisha kuwa nimemuweza Headmistress Wetu na nikawa natamba kabisa ( ila siyo kama Aslay katika Wimbo wake ) lakini cha kushangaza nilipoingia nae tu Yule Mtu ' Feki ' katika eneo la Shule alinichenjia pale pale na badala sasa ya kuwa ' Mtetezi ' wangu kama tulivyokubaliana akageuka kuwa ' Pilato ' wangu na sijawahi kupigwa Viboko vya Kikatili / Kishalubela kama ambavyo nilipigwa Siku ile na hadi leo hii na Utu uzima wangu huu zile mboko / bakora / fimbo kuna muda huwa nazisikia maumivu yake na ' sometimes ' huwa naziota pia. Tokea Siku hiyo nilishika adabu zangu zote!
Hahahaaa, ni hapo Azania mkuu na waalimu waliohusika na tukio hilo baadhi bado wapo hapo, ilikua ni gumzo kubwa sana kwakweliMkuu umenichekesha kuliko kawaida
Ahahahaha nimecheka sana, ulifanya kosa gani mkuu? Na wakati huyo mjeda anakupiga hiyo mikwara reaction ya walimu ilikuwaje? Je siku ya pili ulipokwenda shule walimu walikuambiaje?Hahahah huu Uzi nimekumbuka mbali nimecheka sana,Mimi nilimpeleka mzazi fake mjeda,alikua ananitumaga sana kwa mchepuko wake,nikaona uyo uyo atanifaa,akavaa gwanda alikua na nyota mbili kauzu vibaya mno ,alivyofika ata walimu kuangalia ile sura ya kazi tu kueleza kosa langu lenyewe ilikua kazi,wakaanza kwa kusifia nimepata 1 mock.badae ndo mwalimu mmoja akaeleza kosa,yule mjeda akanidaka shingo kwa nyuma akasema uyu cha moto Leo atakiona ,ataenda kulala ndani ya maji siku tatu,akanitoa kwa nguvu ,utasema anaenda kuua mtu,,tulivyotoka nje ya geti tu akaanza kucheka akaniambia twende ukale bia,,hahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sanaMimi nilimpeleka Mtu ' Feki ' na nakumbuka tulikubaliana vizuri tu, nikamtoa hadi na ' mtonyo ' kiaina na kujiaminisha kuwa nimemuweza Headmistress Wetu na nikawa natamba kabisa ( ila siyo kama Aslay katika Wimbo wake ) lakini cha kushangaza nilipoingia nae tu Yule Mtu ' Feki ' katika eneo la Shule alinichenjia pale pale na badala sasa ya kuwa ' Mtetezi ' wangu kama tulivyokubaliana akageuka kuwa ' Pilato ' wangu na sijawahi kupigwa Viboko vya Kikatili / Kishalubela kama ambavyo nilipigwa Siku ile na hadi leo hii na Utu uzima wangu huu zile mboko / bakora / fimbo kuna muda huwa nazisikia maumivu yake na ' sometimes ' huwa naziota pia. Tokea Siku hiyo nilishika adabu zangu zote!
hahhahahahaha ticha tabia mbaya iyoKun dogo juzi kaagizwa mzazi akaleta mvuta bangi mwenzie.
Tukamstukia tukamwambia inabidi amuadhibu mdogo wake, Jamaa akamshushi kipigo dogo hadi dogo alajikuta anaropoka kuwa huyo sio ndugu yake ni amemuokota tu. Tulicheka sana.
hahhahahahaha ticha tabia mbaya iyoKun dogo juzi kaagizwa mzazi akaleta mvuta bangi mwenzie.
Tukamstukia tukamwambia inabidi amuadhibu mdogo wake, Jamaa akamshushi kipigo dogo hadi dogo alajikuta anaropoka kuwa huyo sio ndugu yake ni amemuokota tu. Tulicheka sana.
hahahahahaha si kweliNilipata kesi ya kumtongoza mwalimu, nikapewa adhabu na barua kuwa jumatatu nije na mzazi wangu, nikaenda kumpanga mama mmoja tukaenda naye kwenye staff ya waalimu, kumbe yule mama ni dada yake na yule mwalimu niliyemtongozaga, kilichofuata sasa..... [emoji85] [emoji23]
Hii movie ya kibongo. [emoji23]hahhahahahaha ticha tabia mbaya iyo
hahahahahaha si kweli
hahhahahahaha ticha tabia mbaya iyo
Hahahahaha, dah mkuu mwenyewe ilinitokea kama ilivyokutokea, asee yule mzee aliniramba bakora hadi nikakataa kumpa hela tuliyokubaliana na nikamwambia kama akitaka aende kushtaki. Stakaa nimsahau yule mzee.Mimi nilimpeleka Mtu ' Feki ' na nakumbuka tulikubaliana vizuri tu, nikamtoa hadi na ' mtonyo ' kiaina na kujiaminisha kuwa nimemuweza Headmistress Wetu na nikawa natamba kabisa ( ila siyo kama Aslay katika Wimbo wake ) lakini cha kushangaza nilipoingia nae tu Yule Mtu ' Feki ' katika eneo la Shule alinichenjia pale pale na badala sasa ya kuwa ' Mtetezi ' wangu kama tulivyokubaliana akageuka kuwa ' Pilato ' wangu na sijawahi kupigwa Viboko vya Kikatili / Kishalubela kama ambavyo nilipigwa Siku ile na hadi leo hii na Utu uzima wangu huu zile mboko / bakora / fimbo kuna muda huwa nazisikia maumivu yake na ' sometimes ' huwa naziota pia. Tokea Siku hiyo nilishika adabu zangu zote!
Poa tu mkuu, kulelewa nako mbona Sawa tu, tofauti yako wewe uliyelelewa na wazazi na sie sio kubwa sana hata hivyo.Ukiona umeweza kuleta Mzazi fake jiulize mzazi wako alikuwa anafanya nini kama hata walimu hawamjui. Wewe si umelelewa na Jamii sasa
Story yako imeishia kati eenh baada ya vibao ndio ukajitaja halafu ikawajeee???nakumbuka niwewahi kuagizwa mzazi nikampanga boda boda awe kama mzazi wangu tukakubaliana kiasi cha kulipana lakini nilikuwa nmechanganyikiwa kwa hofu ya kuwaogopa wazazi wangu kama wakijua kuwa nimesimamishwa masomo cha ajabu na uzuzu wangu sikuweza kukumbuka kumwambia jina langu nae hakuweza kunikumbusha,,,,,sasa tukiwa ofisi ya nidhamu duh
mwalimu; karibu mzee
boda boda; asante
mwalimu;we ndio mzazi wa huyu kijana?
boda boda; mimi ndie
mwalimu;mwanao anaitwa nan?
duuh ndipo nilipogundua uchwara nilioufanya yule boda boda alikuwa hanijui jina basi aligeuka na kunitazama huku macho yamemtoka,,,nikajua naumbuka leo, saa ngap yule boda boda asinichape vibao mbele ya waalimu akixema anaulizw jna akat m npo ko sitosahau