Tuliowahi kuangalia kombe la dunia la mwaka 1998 tukumbushane wale best players uliokuwa unawakubali

Tuliowahi kuangalia kombe la dunia la mwaka 1998 tukumbushane wale best players uliokuwa unawakubali

9c05b3993f90bb6dcc5df7c792c0b7cc.jpg


Ndo huyu mzee
 
Ile sitaisahau,ndo ilikuwa world cup yangu ya kwanza nikiyoenjoy sana..

.Asanovic-croatia, hadi nikampa paka wangu hili jina
.Cocu wa uholanzi
Hata Mimi aiseee ivi unamkumbuka kipa wa Chile alikuwa anaitwa Jose Lou's chilavert
 
Sasa ni takribani miaka 20 inakarabia tangu kombe LA dunia LA mwaka 1998.

Moja kati ya best players niliokuwa nawakubali enzi hizooo.

Katika timu ya croation kuna mchezaji alikuwa anaitwa davor suker.

Timu ya Nigeria kulikuwa na mwako KANU,jay yay okocha, Sunday oliseah,

Timu ya uholanzi kulikuwa na Dennis beckamp,patric kluvert,

Haya na wewe tukumbushie
Bagio
 
Dunia imeishiwa wachezaji.

Nigeria ilipigwa bao 4-1 na Denmark Mwenye Mtoano na hapo ndio ukawa Mwanzo wangu wa kumchukia Nwanko Kanu!, Ila siku ile Jay Jay Okocha ndio Mechi yangu ya Muda wote ninaomkumbuka kwa ubora japo walifungwa
 
Victor Ikipeba(mwili na physique ndogo ila mambo makubwa. Nigeria ya 98 ilibeba matumaini ya afrika, nakumbuka vizuri game yao na Spain walikua underdogs, walifanya yasiyotarajiwa....celestine babayaro, babanginda,ema amumike, Ikipeba, taribo west(green tree kumkichwa) kanu, jay jay okocha(chenga zake zile dhidi ya Denmark), mutiu adepoju, fundi finidi George, Sunday oliseh lile goal lake la shoot Kali kama bombardia dhidi ya Denmark, oparaku, ike ukwe chukwu, victor okpara, fundi kijiko mgawaji garba lawal, Rashid Yekin(RIP kaduna boy) langon unamkuta Peter Rufai[emoji460] kuta madogo eguavoen...huyu alikua anachenga za mauzi alikua anawekwa kumalizia game kama ilivokuaga kwa denilison wa Brazil....pemben ben iroha, Wilson oruma mkwonge huyu....

kwa ufupi kikosi chao ilikua sensation ya Atlanta Olympic 1998! enzi hizo kweli mpira ulikua unaputwa Africa sio sikuhizi...

*NB...game nyingi nilikua naangalizia kwa jirani ustaadh mzee athumani....amani kwake roho nyeupeee bwana yule
 
Nigeria ekipebe,babangida , okocha
Korea ya kusini kulikuwa Ki
Brazil cafu ronaldo bebeto wengine wengi
Bila msau suka mfungaji bora kbsa wa mashindanoo
..hi kombe adi leo cassette yake iko ndani zile km mbao[emoji23][emoji23]
 
Wakati huo nilipokuwa naskia jina la kapten dunga likitajwa kila mara hadi nilikuwa najua kuwa captain pia ni jina lake kumbe ni cheo tu kwenye timu.

Nyakati zimepita sana...!!

Siku hizi tunamaliza Muongo mzima wa Miaka zaid ya 10 tunasikia Messi na Ronaldo tu hadi kero!

Kuna kipindi tulikubaliana kuwa Thierry Henry sio Mchezaji bora wa Dunia kwa kuwa alikutana na kipindi ha wakali zaid yake!
 
Back
Top Bottom