Tuliowahi kuangalia kombe la dunia la mwaka 1998 tukumbushane wale best players uliokuwa unawakubali

Tuliowahi kuangalia kombe la dunia la mwaka 1998 tukumbushane wale best players uliokuwa unawakubali

Nigeria wanagomea mechi na denmark..wanapgwa nne..hadi Leo ikicheza Nigeria na nyoka nashangilia nyoka..hela yenyewe ya kiingilio nilidhulumu
 
Nigeria wanagomea mechi na denmark..wanapgwa nne..hadi Leo ikicheza Nigeria na nyoka nashangilia nyoka..hela yenyewe ya kiingilio nilidhulumu

Kipindi hicho kwa Uzalendo wetu Uchwara wa kushangilia Africa baada ya Nigeria kuipiga Spain tatu tukaona tushakuwa Mabingwa wa Dunia tukawa hatuijadili Denmark sie ikawa tunajadili itavyokuwa Robo fainali
Siku ile Nwanko Kanu alinikera sana
 
Fance kuna team captain Didier Deschamps, Zidane mwenyewe, Frank Libouf, Laurent blanc, Fabian Barthez, Thiery henry, Frank dughery, Emanuel petit, Lilian Thuram, Djorkeff, Karembeu.

Brazil, golikipa Tafarel, Cafu, Robert carlos, Bebeto, [Ronaldo de lima - my favourite player of all time], Dunga, Denilson, Rivaldo.

Wengine ni kama vile Batistuta, Davor suker, Ivan zamorano, Marcelo Salas, Deniss Bergkamp, David Beckam, Emile Heskey, Paul Ince, Fernando Hiero, Mark Overmass, Philip Cocu, Patrick Kluivert, Augostine Jayjay, Mustapha Haji, Milan baros, Rosicky, Phil Nevill, Phillipo Inzaghi, Mc Viduka, Zola na mwisho bila kumsahau mkongwe Rashid Yekin.
 
dah, nakumbuka sana nilibandika stika kwenye daftari. KANU, okocha, de Lima. zidane. Bro alikuwa ananifulisha jezi na soksi zake anazofanyia mazoezi kwa mshahara Wa stika. Stika za Michael Owen zilikuwa na special page
 
Namkumbuka mutiu adepoju wa nigeria..aliwapiga Spain goli la kwanza..nakumbuka chilavert anaenda kumkoromea refa huku shuti la Henry linaenda kugonga mwamba...nakumbuka Henry ameziba uso huku Luigi di biagio anaenda kukosa penalty muhimu kwa Italy..naikumbuka Paraguay ya watoto kina cardozo,acuna,ayala...namkumbuka klasimir balakov na stochkov hirsto na bulgaria yao..nakumbuka Blanco wa Mexico alivyokuwa akibana mpira na kuruka nao..nakumbuka Romania ya gheorghe hagi wote walikuwa na nywele za gold kasoro kipa wao bogdan stelea alikuwa kipara..nakumbuka rafu ya naybeth kwa ronado..diego someone na beckam..usa na Iran..usa anapigwa..colombia na mkongwe valderama..nakumbuka barthez alivyotaka kumuua ronaldo siku ya fainal..bila kusahau peter rufai dhidi ya denmark..
 
c3958b8f8685436273767c6597f22f37.jpg
Wakongwe hao..okocha..ikwechuku uche(5) finidi george (7)west..ikpeba..na adepoju mutiu..
 
Victor Ikipeba(mwili na physique ndogo ila mambo makubwa. Nigeria ya 98 ilibeba matumaini ya afrika, nakumbuka vizuri game yao na Spain walikua underdogs, walifanya yasiyotarajiwa....celestine babayaro, babanginda,ema amumike, Ikipeba, taribo west(green tree kumkichwa) kanu, jay jay okocha(chenga zake zile dhidi ya Denmark), mutiu adepoju, fundi finidi George, Sunday oliseh lile goal lake la shoot Kali kama bombardia dhidi ya Denmark, oparaku, ike ukwe chukwu, victor okpara, fundi kijiko mgawaji garba lawal, Rashid Yekin(RIP kaduna boy) langon unamkuta Peter Rufai[emoji460] kuta madogo eguavoen...huyu alikua anachenga za mauzi alikua anawekwa kumalizia game kama ilivokuaga kwa denilison wa Brazil....pemben ben iroha, Wilson oruma mkwonge huyu....

kwa ufupi kikosi chao ilikua sensation ya Atlanta Olympic 1998! enzi hizo kweli mpira ulikua unaputwa Africa sio sikuhizi...

*NB...game nyingi nilikua naangalizia kwa jirani ustaadh mzee athumani....amani kwake roho nyeupeee bwana yule
Goli Kali la Oliseh ilikuwa katika mechi na Spain,Nwankwo Kanu hakuwepo ndo alikuwa anatibiwa Moyo,Ike Shorumu alikuwa majeruhi.
 
Fance kuna team captain Didier Deschamps, Zidane mwenyewe, Frank Libouf, Laurent blanc, Fabian Barthez, Thiery henry, Frank dughery, Emanuel petit, Lilian Thuram, Djorkeff, Karembeu.

Brazil, golikipa Tafarel, Cafu, Robert carlos, Bebeto, [Ronaldo de lima - my favourite player of all time], Dunga, Denilson, Rivaldo.

Wengine ni kama vile Batistuta, Davor suker, Ivan zamorano, Marcelo Salas, Deniss Bergkamp, David Beckam, Emile Heskey, Paul Ince, Fernando Hiero, Mark Overmass, Philip Cocu, Patrick Kluivert, Augostine Jayjay, Mustapha Haji, Milan baros, Rosicky, Phil Nevill, Phillipo Inzaghi, Mc Viduka, Zola na mwisho bila kumsahau mkongwe Rashid Yekin.
Austin Okocha
 
Aaa! Captain Uche Okwochukwu.

Kama naisikia vile sauti ya Commentator wa Urta & CFI(yes indeed), Spain 2 - 3 Nigeria. Bao la 3 linakandamizwa toka mbaaaaaaaaali na Victor Ikpeba huyo mwenye namba 20...manina zao Golden Eagles.
 
Back
Top Bottom