Emmanuel Petit- France
Nigeria wanagomea mechi na denmark..wanapgwa nne..hadi Leo ikicheza Nigeria na nyoka nashangilia nyoka..hela yenyewe ya kiingilio nilidhulumu
Dunia imeishiwa wachezaji.
Unakumbuka Baggio alipopaisha penaltisie wa world ya 1994 tunangojea
Wakongwe hao..okocha..ikwechuku uche(5) finidi george (7)west..ikpeba..na adepoju mutiu..
Ni kweli,baadaye alienda kwa Mzee WengerIla kuna mchezaji alikuwa anaitwa davor suker
Hawa hawa kuwepo,ni Senegal ilicheza world cup yake ya kwanza 2002,Korea na JapanDiofu Diao camara senegal
Hiyo sijui mkuuVipi kuhusu madereva kuitwa Davoo pande za Arusha?imetokana na nini?
Goli Kali la Oliseh ilikuwa katika mechi na Spain,Nwankwo Kanu hakuwepo ndo alikuwa anatibiwa Moyo,Ike Shorumu alikuwa majeruhi.Victor Ikipeba(mwili na physique ndogo ila mambo makubwa. Nigeria ya 98 ilibeba matumaini ya afrika, nakumbuka vizuri game yao na Spain walikua underdogs, walifanya yasiyotarajiwa....celestine babayaro, babanginda,ema amumike, Ikipeba, taribo west(green tree kumkichwa) kanu, jay jay okocha(chenga zake zile dhidi ya Denmark), mutiu adepoju, fundi finidi George, Sunday oliseh lile goal lake la shoot Kali kama bombardia dhidi ya Denmark, oparaku, ike ukwe chukwu, victor okpara, fundi kijiko mgawaji garba lawal, Rashid Yekin(RIP kaduna boy) langon unamkuta Peter Rufai[emoji460] kuta madogo eguavoen...huyu alikua anachenga za mauzi alikua anawekwa kumalizia game kama ilivokuaga kwa denilison wa Brazil....pemben ben iroha, Wilson oruma mkwonge huyu....
kwa ufupi kikosi chao ilikua sensation ya Atlanta Olympic 1998! enzi hizo kweli mpira ulikua unaputwa Africa sio sikuhizi...
*NB...game nyingi nilikua naangalizia kwa jirani ustaadh mzee athumani....amani kwake roho nyeupeee bwana yule
Kabulo mwana kabuloNamkumbuka mtangazaji wa michuano hiyo kabulo wa kabulo
Utamsikia...kepten dungaa...ronaldoo
Austin OkochaFance kuna team captain Didier Deschamps, Zidane mwenyewe, Frank Libouf, Laurent blanc, Fabian Barthez, Thiery henry, Frank dughery, Emanuel petit, Lilian Thuram, Djorkeff, Karembeu.
Brazil, golikipa Tafarel, Cafu, Robert carlos, Bebeto, [Ronaldo de lima - my favourite player of all time], Dunga, Denilson, Rivaldo.
Wengine ni kama vile Batistuta, Davor suker, Ivan zamorano, Marcelo Salas, Deniss Bergkamp, David Beckam, Emile Heskey, Paul Ince, Fernando Hiero, Mark Overmass, Philip Cocu, Patrick Kluivert, Augostine Jayjay, Mustapha Haji, Milan baros, Rosicky, Phil Nevill, Phillipo Inzaghi, Mc Viduka, Zola na mwisho bila kumsahau mkongwe Rashid Yekin.
Aaa! Captain Uche Okwochukwu.