mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Stori umeitunga vizuri, ila Sasa Kuna vimaswali ujibu 1. Ulifanikiwa kudindisha na kumwingiia jamaa kimwili huku ukiwa una hasira, kibailojia hili lipoje 2. Ulichoma kisu na jamaa akawa kimya hapigi kelele kiasi Cha watu kutosikia; Ina maana Hilo eneo ni scattered kiasi gani 3. Ulitumia line ya simu kuingia Facebook ya mkeo na ukapata na password ?