Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

Mkuu ulifukuzwa kazi na ukiwa bado una mkopo, Ilikuaje kuhusu huo mkopo? Au huwa kuna namna government wanalipa deni la mtumishi?
mkopo unabima...mkurugenzi anakudhamini...benkim haiwezi kushika mali zako maana hujaweka hizo mali kama colateral...watakusumbua ila usikimbie wanaweka madalali wa kudai labda uwe umechukua mkopo wa biashara
 
Kingine hata status ya maisha itabadilika c kwasababu ana gari hivyo hata matumizi binafsi yataongezeka
 
mkopo unabima...mkurugenzi anakudhamini...benkim haiwezi kushika mali zako maana hujaweka hizo mali kama colateral...watakusumbua ila usikimbie wanaweka madalali wa kudai labda uwe umechukua mkopo wa biashara
Kwahiyo kama huyo aliefukuzwa kazi automatically hawezai kuulioa huo mkopo,so mkopo utalipwa na nani? Au ndio wanakua washakula hasara hao watu wa Bank.
 
Champ, suala la kuoa mwanamke mwanasheria ulivyolizungumza ndivyo unamaanisha, inamaana wanasheria wana changamoto ndoani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…