D
Deleted member 485868
Guest
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulikuwa kundi gani kati ya hayo uliyoyataja?Enzi hizo ukitaka uwe vizuri inabidi akili zichaji na mpira uwe unaujua,hutasumbuliwa maanake unafit groups zote. Kuna wale manunda shule zero ila mpira balaa hawa utaelewana nao kwasababu ya mpira. Kuna wale watoto wa mama john visomo hawajui mpira so utaelewana nao kwenye masomo! Enzi zangu nilikuwa naombwa nibaki kucheza mechi za madarasa.
Mhhh demiss demissKuna mkaka nakumbuka tukiwa standard 5 tumeenda uwanjani kwenye mazoezi akanipigia mpira nilimdunda mpaka akazimia ile wanampandisha kwenye school bus akazinduka ikabidi baba aitwee shuleee nilichezea vitasa sitakaaa nisahau kabisaaaaa
Haha..hapa kila mtu atasema sikuwahi kupigwamiaka hiyo unakuta unakuta umetoka kuangalia muvi za kina komando kipensi na Rambo basi unajiona mbabe,duh binafsi nilikua natembeza vitasa tu sikuwahi kupigwa
hahaha sipigwi kiboya,nitachukua ata mawe nimtandike nikimbie speed 120 hahaHaha..hapa kila mtu atasema sikuwahi kupigwa
Ebu tupege icho kisa bana..kimya icho kwema!Mimi nina kisa kimoja ila wacha nikae kimya tu
JF TULIO HUMU WOTE WAJANJA USISHANGAE KUSIKIA HILOHaha..hapa kila mtu atasema sikuwahi kupigwa
Hilo nalo nenoJF TULIO HUMU WOTE WAJANJA USISHANGAE KUSIKIA HILO
Mimi ni talented....mpira wa miguu nilikuwa nauweza,basketball naiweza na darasani I was among the best.Wewe ulikuwa kundi gani kati ya hayo uliyoyataja?
Duh! Kumbe Kuna watu watata humu eeh, nilikua mpole nilijaribu mapambano mawili, nikawa na near - miss kwenye mapambano, nikahairisha kuwa mgomvi!Kuna mkaka nakumbuka tukiwa standard 5 tumeenda uwanjani kwenye mazoezi akanipigia mpira nilimdunda mpaka akazimia ile wanampandisha kwenye school bus akazinduka ikabidi baba aitwee shuleee nilichezea vitasa sitakaaa nisahau kabisaaaaa
Unazan mm mhengaaa mm under 25hiyo ilikua Shule ya kishua,mpaka school bus miaka hiyo
Hahahahah kawaida hiyoKumbe umesoma za school bus dah!
Hahahahhahah balaaaMhhh demiss demiss
I guess I was your first kisser... Right?Nakumbuka sana ndugu