Tuliowahi kufanya fujo na kuharibu mali za shule, tutubu hapa

Tuliowahi kufanya fujo na kuharibu mali za shule, tutubu hapa

Kwa niaba yangu na wenzangu kama mtu tisa hivi yani Gusta Shada family Tss natubu kupiga charter za majina yetu kila kona ya shule hadi vyoo vya walimu vitabu vya shule sahani na vijiko vya shule na kubadili jina shule kwa maandishi makubwa juu ya gorofa yani lango kuu la kuingilia shuleni kwa juu utaanza kusoma jina hilo hivyo kuwafanya wageni hasa form one kuhisi wamekosea kuripoti hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi kwa uzi huu na mimi leo natubu hapa, Niliharibu Fire Extinguisher, niliuza majembe na ndoo za shule, nilimwibia mwalimu kalamu, nilivunja madawati ya shule, Nilipiga wanafunzi wenzangu, niliwapa mimba wanafunzi watatu na kuwaharibia masomo yao.

Nilichota sukari stoo na kupeleka nyumbani, Niliiba tai za wenzangu, Nilikula chakula chao.

[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Mkuu, kwa haya makosa inabidi nikupeleke kwa mkemia mkuu ukapimwe mkojo kabla ya kwenda kwako kukukagua!
 
Ha haa! Naitafuta ile picha ya mfalme kutoka Chattle ila siioni. Ila juzi katoka kukata 1M cash ku repea the damage!
===============================================

Hii hapa...
magufuli-shule-1.jpg
 
DIRISHA nililo haribu Mimi lilikarabatiwa, kawaida ya shule na mabweni kila mwanzo wa masomo kuna ukarabati unaofanyika, sjui mwenzetu yeye tokea haribu miaka 40 baadaye kaja kukarabati yeye mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi kwa uzi huu na mimi leo natubu hapa, Niliharibu Fire Extinguisher, niliuza majembe na ndoo za shule, nilimwibia mwalimu kalamu, nilivunja madawati ya shule, Nilipiga wanafunzi wenzangu, niliwapa mimba wanafunzi watatu na kuwaharibia masomo yao.

Nilichota sukari stoo na kupeleka nyumbani, Niliiba tai za wenzangu, Nilikula chakula chao.

[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Aise we jamaa hufai
Haaaaaaaa............... ndo uchulo gani huo ulifanya?
Dah [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Wanisamehe mmna siku moja walinipunja ugali bas nikapiga kelele class nikapewa adhab ya kuosha masufuria eeeh mwana weeee niliyatoboa yte shenzii kbs kesho yake walikoma
 
Me watching....
da016ba30b08a0329538b2e2492954d9.jpg

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Back
Top Bottom