Tuliowahi kufanya fujo na kuharibu mali za shule, tutubu hapa

Tuliowahi kufanya fujo na kuharibu mali za shule, tutubu hapa

Mimi natubu hapa kwa yafuatayo
1.kuiba acid and base laboratory
2. Kuiba mahindi ya shule na unga na kuuza
3. Kuiba raba ,buti na viatu vipya na kwenda kuviuza
4. Kupiga form one hadi kulazwaa hospital wiki tatu nilikuwa namkata mkia
5.kuiba Vitabu vya shule na chaki kwenda kuuza kwa waalimu wa tuition
6. Kugonganisha mademu yani nilikuwa na demu kuanzia form one mpaka six kipindi hicho nipo form six
7. Kunywaa ulanzi, komoni, chimpumu, viroba, na pombe Nyingine sizikumbuki ila sikukamatwaa
8. Kuwadanganya wazazi wangu kuwa ada ni 1.5mill wakati ada ilikuwaa 860,000/- miaka hiyo ya nyuma

Takuja kumalizia mengine ngoja nikakojowe
Hahahaa mkuu ulisoma MTWANGO SEC au??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa niaba yangu na wenzangu kama mtu tisa hivi yani Gusta Shada family Tss natubu kupiga charter za majina yetu kila kona ya shule hadi vyoo vya walimu vitabu vya shule sahani na vijiko vya shule na kubadili jina shule kwa maandishi makubwa juu ya gorofa yani lango kuu la kuingilia shuleni kwa juu utaanza kusoma jina hilo hivyo kuwafanya wageni hasa form one kuhisi wamekosea kuripoti hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa mwanangu wa TOSAMAGANGA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi kwa uzi huu na mimi leo natubu hapa, Niliharibu Fire Extinguisher, niliuza majembe na ndoo za shule, nilimwibia mwalimu kalamu, nilivunja madawati ya shule, Nilipiga wanafunzi wenzangu, niliwapa mimba wanafunzi watatu na kuwaharibia masomo yao.

Nilichota sukari stoo na kupeleka nyumbani, Niliiba tai za wenzangu, Nilikula chakula chao.

[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Ulikuwa gerezani au shule mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Mimi niliwagonga walimu wawili na mmoja kupata mimba.

Primary nilikuwa mwizi maarufu jikoni kwa mpishi.

Jioni Nilivizia walimu na kuwalenga na manati baada ya kuchapwa shuleni.

Nilitembea na girls karibia darasa zima secondary

Niliiba mwiko wa kusongea ugali shuleni pamoja na kumlenga mpishi kwa manati baada ya mpishi kuninyima ukoko.

Usiku Nilifungua maji kisimani yakamwagika yote baada ya mwalimu kunipa adhabu ya kuchota maji mchana.

Nilikuwa naenda na kioo shuleni nakiweka chini naanza kuchungulia pichu Za girls

Dah! Yapo mengi sanaa, nikiandika hapa itakuwa soo
 
Dah! ngoja leo nitubu, niliiba extension 7 za computer lab nikiwa chuoni.
Mengine nimesahau nakumbuka hilo la juzi juzi
 
mi nilikaa siku tatu chimwaga nadownload porn na kusambaza kwa vidume vyote vya social na kuvisababishia emotional meltdown na kwenda wachungulia madem wa block four wakitoka oga na kupiga exile jamaa zangu wa block 2
 
Back
Top Bottom