Mkuu, kwa haya makosa inabidi nikupeleke kwa mkemia mkuu ukapimwe mkojo kabla ya kwenda kwako kukukagua!Safi kwa uzi huu na mimi leo natubu hapa, Niliharibu Fire Extinguisher, niliuza majembe na ndoo za shule, nilimwibia mwalimu kalamu, nilivunja madawati ya shule, Nilipiga wanafunzi wenzangu, niliwapa mimba wanafunzi watatu na kuwaharibia masomo yao.
Nilichota sukari stoo na kupeleka nyumbani, Niliiba tai za wenzangu, Nilikula chakula chao.
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Tutakulazimisha mpaka utoe mkojo tuupime!
Nenda katoe Million Moja ya ukarabati
Aise we jamaa hufaiSafi kwa uzi huu na mimi leo natubu hapa, Niliharibu Fire Extinguisher, niliuza majembe na ndoo za shule, nilimwibia mwalimu kalamu, nilivunja madawati ya shule, Nilipiga wanafunzi wenzangu, niliwapa mimba wanafunzi watatu na kuwaharibia masomo yao.
Nilichota sukari stoo na kupeleka nyumbani, Niliiba tai za wenzangu, Nilikula chakula chao.
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Hebu usiwe unanitaja kwenye maujinga jinga yako, sipendi unafiki.