Chichi Theboy
JF-Expert Member
- Feb 20, 2015
- 429
- 499
[emoji23][emoji23]haohao wakavunja na duka kisha wakabeba soda kreti 15 cha ajabu hawakunywa ila walizivunjavunja zoote [emoji23][emoji23]bangi bila kula ni mbaya sanaWalifanyaje mkuu? Ama ndo wale walichoma moto shule?
[emoji23][emoji23]haohao wakavunja na duka kisha wakabeba soda kreti 15 cha ajabu hawakunywa ila walizivunjavunja zoote [emoji23][emoji23]bangi bila kula ni mbaya sana
Hahahaa mkuu ulisoma MTWANGO SEC au??Mimi natubu hapa kwa yafuatayo
1.kuiba acid and base laboratory
2. Kuiba mahindi ya shule na unga na kuuza
3. Kuiba raba ,buti na viatu vipya na kwenda kuviuza
4. Kupiga form one hadi kulazwaa hospital wiki tatu nilikuwa namkata mkia
5.kuiba Vitabu vya shule na chaki kwenda kuuza kwa waalimu wa tuition
6. Kugonganisha mademu yani nilikuwa na demu kuanzia form one mpaka six kipindi hicho nipo form six
7. Kunywaa ulanzi, komoni, chimpumu, viroba, na pombe Nyingine sizikumbuki ila sikukamatwaa
8. Kuwadanganya wazazi wangu kuwa ada ni 1.5mill wakati ada ilikuwaa 860,000/- miaka hiyo ya nyuma
Takuja kumalizia mengine ngoja nikakojowe
Hahahaaa mwanangu wa TOSAMAGANGAKwa niaba yangu na wenzangu kama mtu tisa hivi yani Gusta Shada family Tss natubu kupiga charter za majina yetu kila kona ya shule hadi vyoo vya walimu vitabu vya shule sahani na vijiko vya shule na kubadili jina shule kwa maandishi makubwa juu ya gorofa yani lango kuu la kuingilia shuleni kwa juu utaanza kusoma jina hilo hivyo kuwafanya wageni hasa form one kuhisi wamekosea kuripoti hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa gerezani au shule mkuu?Safi kwa uzi huu na mimi leo natubu hapa, Niliharibu Fire Extinguisher, niliuza majembe na ndoo za shule, nilimwibia mwalimu kalamu, nilivunja madawati ya shule, Nilipiga wanafunzi wenzangu, niliwapa mimba wanafunzi watatu na kuwaharibia masomo yao.
Nilichota sukari stoo na kupeleka nyumbani, Niliiba tai za wenzangu, Nilikula chakula chao.
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
your not good citizen ..your normal individual...sisi viongozi wakubwa tulifanya fujo na kuharibu mali za shuleππππI used to be good boy that's why am a good citizen