SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Pole sana na hongera kwakupambana kiumeKati ya vitu vinavyouma katika maisha ni kufukuzwa kazi, nakumbuka miaka kadhaa nyuma baada ya kumaliza degree yangu nikabahatika kupata kazi kwenye kitaasisi kimoja hivi.
Wanajiamini sanaKwanini umesema hivo mkuu?
Wahaya ndo mishe zao hizi?[emoji848]
Utakuwa muhaya wewe[emoji848][emoji848]Wanajiamini sana
Hata wewe mkuu?Utakuwa muhaya wewe[emoji848][emoji848]
Acha wenge nani muhaya?Hata wewe mkuu?
Njoo pm plz
Mcheki MshanaNiliacha kazi mwaka 2018 mpaka leo najuta Kwa kweli naona bora nisinge acha kazi.Sijui wenzangu mnatumia mbinu gan kupata kazi Kwa haraka
Apia mkuu[emoji848]Mapigo yako ya kigumu nayakubali sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] eti k ikakuchoma [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]K ikakuchoma
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] we ni muongooooMimi ni jeuri najijua ila sijawahi kufukuzwa kazi.Huwa naondoka kama naenda msalani ndiyo hawanioni tena.Halafu yalivyo majinga huwa yanalia eti yamenikumbuka.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] eti k ikakuchoma [emoji23][emoji23]
Huyo jamaa hajawahi kuwa serious hata siku moja mfatilie
Wenge nalo ni sifa Waitu[emoji28][emoji28]Acha wenge nani muhaya?
Pm tena[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Mi nakijua kihaya nisemeshe hapa nikujibu
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Wenge nalo ni sifa Waitu[emoji28][emoji28]
Wewe ni MhayaKwanini umesema hivo mkuu?
Wahaya ndo mishe zao hizi?[emoji848]
Lianzishe mkuuHuyo boss ni kama boss wangu wa sasa...
Nipo namlia timing tuu sku akijichanganya lazima nimtie hasara...
Hahahaaaa Hakuna jini lenye uwezo wakuniingia. Ni taama yangu mwenyewe πππSasa alikutupia jini la wizi[emoji28]
Dah pole mkuu, kama kwenye ajira ulikuwa unapata milioni kwenda juu sawa , ila trust me, kama una mishe yako unapata hata 700k as faida per month hadi 1m komaa na biashara yako, na ukisema uajiriwe basi make sure take home inakuwa 1m kwenda juu, ila hizi 800k, wakikata unabaki na 500k stress tupu.Niliacha kazi mwaka 2018 mpaka leo najuta Kwa kweli naona bora nisinge acha kazi.Sijui wenzangu mnatumia mbinu gan kupata kazi Kwa haraka