Ibn Massood
Senior Member
- May 7, 2012
- 153
- 372
Kwa sasa ni watu wote wana mikataba ya namna hiyo. Mwanzo ilikua miaka mitano ila wakaona wakitaka kufukuza mtu inabidi wacompasate wamlipe mshahara wa miezi miwili mbele ndo wamfukuze.Ni watu wote wanafanyiwa ivyo au baadhi? Ina maana kampuni haina watu wenye zaidi ya miaka miwili kazini? Je kila mwezi kuna staff wanaondoka na wanao ajiriwa? Maana naamini mikataba ya watu huisha miez tofauti tofauti. Hebu nijibu apo kwanza
Kuna watu wana miaka 7 kazini ila mtindo wa mkataba ni huohuo mpya kwa wote
Imagine kuna watu wamepewa mkataba mpaka wa miez 6 wengine mwaka 1 ili wote tukutanishwe kupewa mkataba kipindi kimoja
Hawa jama ikipita mwaka hawajafukuza mtu wanaona kama hawajafanya kazo coz kuna watu wameajiriwa maalum kwa ajili ya kuchunguza wafanyakazi na kupeleka kasoro tu huko juu