Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Aiseee mm ualimu Niliona tu nitakuja pata kesi dhidi ya jamhuri nikaachana nao....kufokewa mtoto wa kiume siwezi vumilia,.......

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kazi yangu ya kwanza nili resign mwenyewe ,kazi ya pili nilifutwa kbsaa ,kazi ya tatu nikapipgwa redundant ,kazi ya nne nikafutwa kazi ya tano retrenchment [emoji23][emoji23] kazi ya saba wala siajaga nilijiondokee tu mwenyewe kwa mchinaaa
Maisha ya kufutwa kazi zlnimeshazoea haswaa
 
sababu ya kufukuzwa ndani ya siku 6 ni nini Mkuu[emoji1787]nacheka kama mazuri vile
Amna sababu mkuu.asubui kuna utaratibu wa kwenda kuwasalimia wahindi ofisin wabongo wote muhnd anaitwa happy akaniambia asant kwa kaz yako wakanipa elf 60 hela ya overtime ikawa imeisha.
 
hiyo RETRENCHMENT itakuwa ulikuwa kwa wale wahuni wa MOBISOL Arusha,wao kazi yao ni ku-retrench wafanyakazi na kuajiri wapya kila siku wakati biashara yenyewe ya Sola haina mbele wala nyuma,ndio maana wanaibiwa kila siku
 
Sijui kwa nini ma Hr wengi ni ma snitch roho mbayaa
 
Eti nafanya kazi za ndani kwa mama yako. Kuna watu wamechefukwa asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…