Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Mambo ya kuamka asubuhi, mbio mbio kazini, unashinda huko siku nzima, uchelewe kutoka then upite mahali upate moja moto moja baridi(optional), inatutenga sana na jamii inayotuzunguka. Socialization inakuwa zero siku ukitemwa kitaa hapakaliki ni ndani tu then sonona inakutafuna waweza kujiua ka ulvyosema.
Ndugu zangu, Darasa la mtaaani ni bora kuliko la shuleni. Tafuta kijiwe mtaani piga nao stori, hata kama ni kiduka, kwa mchoma maindi, kwenye michezo kama drafti hata kama uchezi tokea mara moja moja.

Siku hizi nyumba za kupanga mpo watatu au wanne lakini mnaweza msionane kabisa kila mtu anatoka kwa wakati wake, ipo siku utaumwa ndani ushindwe hata kupiga simu wanakuta umeoza tayari.
Let socialize each other
 
Dah umenikumbusha mbali sana
Mie nilimaliza chuo bana nikapata kaz kweny hosp fulan pale mwanza, nikaanza kaz kama mwezi mmoja hv nikaanza kulazimishwa kutoa majib ya uongo (yan kama mtu hana malaria nalazimishwa niandike ana malaria ) kusud wauze dawa nikagoma nikawaambia professional haitak hvyoo mie nafanya kama nlivyoo fundishwa .
Nikaambiwa nisihusike na chochote pale kazn niandike barua ya kuacha kaz
Nikagoma pia wakaona mie tatzo ikabid wavunje mkataba wanilipe miez 3 free..
Ila mungu uwa mwema siku zote ukitenda hak nikaacha pale kaz
Baada ya week nikapata kaz sehem nyingne na nikapewa kitengo nisimamie mpk naondoka lile eneo wakawa bado wananihitaji...
Ila kwasasa nafanya vitu vyangu mie kama mie na sitak kuajiriwa
 
Kumbe ndivyo inavyokuwa .

Ndio maana watu wanakufa kwa matatizo ya Figo ,ini na mengineyo

Wanamezeshwa dawa Ila hawaumwi kisa hospital ipate hela za dawa

Shenzi sana
 
Ni Mungu/MUNGU na sio mungu.
 
hii
kweli mm walivunja mlango kbs..
 
Mkuu acha kabisaa, mtu unafukuzwa kazi na kesi juu.......😭😭😭😭😭
 
Hahaaaa.
 
Acha kuharibu mada.
 
Tujikite kwenye mada, mifano mingine hatuna uhakika nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…