Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Kabisa, yani kama mimi.na mwenzangu ilikua mshahara ni kwa ajili ya kodi na ada kwa hyo hata ikichelewa ilikua hainiatahiri sana
Sasa wote hufikiria anayeenda kazini mshahara ndo everything kiasi Cha kuchongeana
 
Pole hapo kwenye kupendeza ndo shughuli, kwan we viatu nguo unatoa wap akati hatujalipwa, come on umesahau kua mie nahudumiwa na mume wangu yani kazin watu wakiwa na shida na wewe inabidi uwe na shida ila ikiwa tofauti kazi itakua chungu. Na bado ukiwa na hizo shida ypu wont rest leo kaja hayuo kawaida labda kagombana na mume wake yan mradi iwe tabu
Makazini Kuna Mambo kweli kweli mtu hata ka ka kuzidi salary parefu Bado Kuna shida, pia wako wanaotaka wote mfanane kwa kila Jambo bila kujua kila mtu na background
 
Mm nishafukuzwa kibabe huku mfukoni Nina eflu 2 ya nauli,bank Nina elf 28,na hapo ni ktkt ya mwez,mwisho wa mwez ninatakiwa ada ya mtt private school, nimepewa barua ya kufukuzwa nikasepa,baada ya kuhangaika miez km mitano nikapata kaz mkoa mwingine,kazi ya maana kinyama,mshahara kule nilipofukuzwa ulikua 480k,nikapata kazi ya mshahara 915k take home,baada ya miez mi5 nikarud hom kusalimia,nikaonana na wafanyakaz wenzangu wa mwanzo kule nilipofukuzwa,wengi wanapongeza kuwa eti nimependeza,nimenenepa na kunidadisi nafanya kaz wapi,Mara njiani nakutana na bosi wangu yupo ndani ya gari na wafanyakazi wengine km wa3 HV,bosi akamwambia drv wake asimamishe gar akaniita na kuniuliza eti nafanya kazi gani na wapi?,,Mara eti dah maisha umeyapatia kweli,naona umependeza km vile MD wa kampuni flani HV,nikamjibu nafanya kazi za ndani kwa mama ako kisha nikasepa zangu,.mpuuzi sana yule jamaa,hadi Leo nafanya kazi hapo hapo na mshara umepanda hadi 1.25m,na ki IST nimenunua na mjengo wangu nimemalizia.ukifukuzwa kazi unapata muda mzuri wa kutafuta kazi nzur maana bila hivyo una relax na kikazi ulichonacho na madeni kila kona
Mkuu shwari?... Kuna jambo nilijaribu kuja PM ikagoma. Naona hujaruhusu mtu akucheki PM ama ni nini!!
 
Kuna mfanyakazi mmoja ameachishwa kazi baada ya kupata msiba watu wameenda kumpa pole kufika wakakuta mjengo wa maana
Alivyorudi kazini anaulizwa hela ya kujenga nyumba kama hii kaipata wapi
Duh hawajui kuwa waweza kuwa na same salary mwenzako akajiongeza, I think watu wa kazini sio wa kuzoeana nao kabisa, nyumba tu umfukuze mtu bila kujali Hali ya msiba.
 
Ila bado nawazo mtu hua anatafuta nini kwa boss kwenda kupeleka majungu, maana waza mtu kaona hyo email nliyoprint pamoja na homework za watoto, email yenyewe ukisoma sio cable ya ofisi lakin bado mtu kamforwadia boss hyo email, yan sehem za kazi wanafki wengi
Roho chafu.Wapo jiwe type wao furaha yao utimilika pale mtu anapoumia.
Starehe zao ni kuona mwingine akiharibikiwa.Hii ni spirit waliyonayo blacks wengi hasa waliotokea kwenye extremely poverty,mind inakuwa ishaharibika.
 
Mm nishafukuzwa kibabe huku mfukoni Nina eflu 2 ya nauli,bank Nina elf 28,na hapo ni ktkt ya mwez,mwisho wa mwez ninatakiwa ada ya mtt private school, nimepewa barua ya kufukuzwa nikasepa,baada ya kuhangaika miez km mitano nikapata kaz mkoa mwingine,kazi ya maana kinyama,mshahara kule nilipofukuzwa ulikua 480k,nikapata kazi ya mshahara 915k take home,baada ya miez mi5 nikarud hom kusalimia,nikaonana na wafanyakaz wenzangu wa mwanzo kule nilipofukuzwa,wengi wanapongeza kuwa eti nimependeza,nimenenepa na kunidadisi nafanya kaz wapi,Mara njiani nakutana na bosi wangu yupo ndani ya gari na wafanyakazi wengine km wa3 HV,bosi akamwambia drv wake asimamishe gar akaniita na kuniuliza eti nafanya kazi gani na wapi?,,Mara eti dah maisha umeyapatia kweli,naona umependeza km vile MD wa kampuni flani HV,nikamjibu nafanya kazi za ndani kwa mama ako kisha nikasepa zangu,.mpuuzi sana yule jamaa,hadi Leo nafanya kazi hapo hapo na mshara umepanda hadi 1.25m,na ki IST nimenunua na mjengo wangu nimemalizia.ukifukuzwa kazi unapata muda mzuri wa kutafuta kazi nzur maana bila hivyo una relax na kikazi ulichonacho na madeni kila kona
Kufukuzwa Kazi ni mwanzo mpya wa kutafuta Kazi mpya.
 
Takukuru pia wanasaidia kwan baada ya kuacha kazi kampuni ilipunguza watu na ikawa hawakkueka nssf zaid ya 5 yrs na zilizowekwa ni mwezi au miezi miwili
Chama cha wafanyakazi tamico kilisaidia, muhumi mkienda cma muwe na taarifa ya vikao walau vitatu ambavyo mmekaa na muajiri na hao tamico kisha takukuru wanamuita boss wenu na kupewa muda sie baada ya kwenda takukuru haikuisha mwezi boss akalipa nssf shida iliopo now ni nssf pesa hakuna subiri wiki mbilu zitakua tayari mara mwezi mpaka sasa nimmiezi
Yale majizi yaliyoifilisi nssf kwa kupora michango ya wanachama yapo nje yanatumbua tu,mtu michango yako unaambiwa usubirie.Hivi kwann isiwepo sheria hii mifuko kujiunga iwe ni hiari mtu mzima unafundishwa vipi kujitunzia pesa zako.
 
Makazini huwa Kuna watu Wana roho mbaya Sana bila sababu
True ukifukuzwa Kazi ikapata panono pengine huwa wanaumia Sana kama jiwe alivyomtumbua Dr Mwele akapata UN Kazi ilimuumiza Sana jiwe kutwa haeshi kumsimanga na kumnanga.
Hizi roho nyeusi zinaendana na rangi zetu hasa kama ulikulia kwenye extremely poverty tena bush
 
Mijitu Ina wivu haijui kila mtu ana riziki yake Sasa kuharibiana ndo Nini, ila jiwe licha ya kuwa Rais aliumizwa na mwele kupata shirika la kimataifa, imagine Raisi mzima anaumia alitaka kuona mwele anateseka ili afurahi. Watanzania wengi ni ma sadist mno wanaotaka tu wao wafaidike mie huziita hzo roho za kichawi.
 
Makazini hata ukipendeza ni kosa na hyo kupeleka watu nyumbani ndo haswa uliharibu maana walipatwa na wivu, mie shoga angu wa kusali pamoja alinichonifanyia huwezi amini ka ni yule mpenda Sala. In short kazini mtu asikujue Mambo yako.
Haya mambo ya kupeleka wafanyakazi wenzio home kama upo vizuri hayafai kabisa hasa kwa sie waswahili,Acha kabisa wengine wametafutiwa visa,hamishwa,pewa kesi ofisini,kujuana kuishie huko huko kazini, kuna wafanyakazi hata wakipata misiba uhamishia kwa ndugu zao Ili kuepuka kijicho cha wafanyakazi wenzao.
 
Mijitu Ina wivu haijui kila mtu ana riziki yake Sasa kuharibiana ndo Nini, ila jiwe licha ya kuwa Rais aliumizwa na mwele kupata shirika la kimataifa, imagine Raisi mzima anaumia alitaka kuona mwele anateseka ili afurahi. Watanzania wengi ni ma sadist mno wanaotaka tu wao wafaidike mie huziita hzo roho za kichawi.
Alikuwa akiumia hata ukivaa nguo mpya ofisini wanamjua waliowahi fanya nae Kazi kabla.Kuna libosi limoja lilikuwa likiumia mkila kuku ofisini.Image mtu anaumia ukila kuku au kuvaaa nguo mpya ofisini atashindwa vipi kufurahi ukifukuzwa Kazi
 
Haya mambo ya kupeleka wafanyakazi wenzio home kama upo vizuri hayafai kabisa hasa kwa sie waswahili,Acha kabisa wengine wametafutiwa visa,hamishwa,pewa kesi ofisini,kujuana kuishie huko huko kazini, kuna wafanyakazi hata wakipata misiba uhamishia kwa ndugu zao Ili kuepuka kijicho cha wafanyakazi wenzao.
Wawezwa kurogwa kabisa ndugu yangu alijenga nyumba eeeh watu kujua Sasa alipigwa vita hata kushushwa kwenye nafasi zote, ila licha ya kumpiga majungu na kumshusha ameendelea tu ku shine
 
Nimecheka Sana aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Daaah watu wanapitia magumu Kuna mdau kanichekesha hapo alivyopata kazi nyingine[emoji1787]
 
Aisee nakumbuka ilikuwa mwaka 2014 nilipata kaz shule moja ya girls nilikuwa mchapa kaz sn boss alinipenda sn maana nilikuwa nafanya kaz ya records Mambo ya Ada na michango mingne lakini nilikuwa na faida nyngn Kama sekritari hayupo nilikuwa nasmamia show za kuchapa mitihani na Mambo mengine yote ya kuprint na kuchapa sasa alikuja mzungu mmoja mdada kaleta mtoto pale shulen na mi ndo nilikuwa napokea wanafunz nakagua kama wamelipa Ada na michango mingne Yan mi nilikuwa na uwezo hata wa Kimtoa nje mwanafunz ambaye hajakamilisha ada huyo mzungu alipofka akawa ananiangalia vile nachapa kazi kwa kila anayeingia na kutoka akanikubali sana sasa alinikubali zaid pale nilipomsaidia mtoto aliyekuja naye kuingia shulen wakati hakuwa amelipa ada kwan mzungu aliniomba nimpe rist ya ada halafu kesho atanipigia cm nikachukue pesa niitumbukze bank

kwan ye muda wa kwenda bank amekosa kabisa basi bhana kweli kesho yake alinipa ile pesa lakin akaniulza nalipwa shs ngapi nikamwambia akasema nna mkataba nikamwambia hapana bs akanambia ana kampuni ya kukodisha magari anataka nikafanye kaz kwake anilipe mara mbili ya mshahara nnaolipwa shulen nikamwambia poa
kweli nilihamia huko kwa mzungu kimbembe kilikuwa hivi

kumbe pale ofsn kulikuwa na mdada wa kimasai anaitwa joyce ndiye alitakiwa atoke pale ofsn ahamie kwny kitengo cha masoko na jamaa wengi madereva pale ofsn walikuwa hawampendi sn daaah aisee dada alikuwa na roho mbaya kama sura yake akawa anaenda kwa waganga ili nifukuzwe kazi maana hakupenda kutoka pale ofsn kwenda kwny masoko

mara nikute kaz nilizofanya jana yakr zmefutwa kwny pc yan majanga tu boss nae akaanza kunichukia hatari bila sababu

mdada akawa anaomba ruhusa hata ya wiki kumbe anaenda kwa waganga ili nifukuzwe kaz amlete rafiki yake ndo aje awe wa masoko ye arudi ofsn cha ajabu kaz hawez kabsa ila ni ana mdomo hatari mwisho wa sku nilichukia kbs kaz wkend ikiisha nakosa amani kabsa aisee nakumbuka bosi aliniita sku moja mbele ya huyo dada akawa ananifokea eti simuheshimu huyo dada mara huyo dada akawa anatamba eti tatzo mi smjui ye ni nani pale ofsn mmmh bosi akanambia natakiwa kumheshimu joyce sn kama bosi nilishangaa nmuheshimu kvp mbona sielewi aisee wakati ni binti tu kijana kama mimi au nmemkosea nn yan nikawa sjui kbs ndo nikpata taarifa kwa dereva mmoja kwmb joyce anasema mi nafanya sn kaz na bosi ananikubali sn sa uwenda mbele ya safari takuja kuwa mtu mkubwa sana ukizngatia nina elimu kubwa kuliko wafanyakaz wote na nna chapa kaz hatari

sku moja niliitwa na bosi mbele ya wafanyakaz wote ilikuwa mwisho wa mwezi nashangaa nakabiziwa mshahara wangu by cash na kuambiwa sina kaz tena pale bila sababu za msingi skuumia sn maana nilishaona vitimbwi vya joyce ila niliwambia watu pale ofsn kama Mungu Aishivyo ikiwa nmefukuzwa kaz kisa joyce tena bila kosa lolote bs joyce hatomalza miezi miwili naye atatmuliwa kweli nilipata taarifa joyce alifukuzwa kwa aibu kubwa kwa kosa la kuitia hasara kampuni hata miezi miwili haikufka

mengne ningesema wakuu baada ya kufukuzwa ilikuaje sema naogopa kuwachosha nyie acheni tu maisha haya maisha haya stasahau nilikuwa natembea kwa mguu toka goba mpk posta au mabibo hostel kwny internet kutafuta kaz nyngn online stasahau kabisa
Pole Sana maofisini Kuna wenye roho mbaya sana
 
True ukifukuzwa Kazi ikapata panono pengine huwa wanaumia Sana kama jiwe alivyomtumbua Dr Mwele akapata UN Kazi ilimuumiza Sana jiwe kutwa haeshi kumsimanga na kumnanga.
Hizi roho nyeusi zinaendana na rangi zetu hasa kama ulikulia kwenye extremely poverty tena bush
Hahahahah jiwe bhana
 
Back
Top Bottom