Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Kipindi cha uchaguzi vijana wengi walijaribu kugombea ubunge. Kuna jamaa akaenda kwao huko kugombea na aliomba likizo.

Sasa kuna HOD mmoja alikuwa kimbelembele anashadadia jamaa afukuzwe.

Nikamwambia akifukuzwa mshahara wake utakuwa wako?

Kuna mijitu ina roho mbaya sana.
Makazini huwa Kuna watu Wana roho mbaya Sana bila sababu
 
Takukuru pia wanasaidia kwan baada ya kuacha kazi kampuni ilipunguza watu na ikawa hawakkueka nssf zaid ya 5 yrs na zilizowekwa ni mwezi au miezi miwili
Chama cha wafanyakazi tamico kilisaidia, muhumi mkienda cma muwe na taarifa ya vikao walau vitatu ambavyo mmekaa na muajiri na hao tamico kisha takukuru wanamuita boss wenu na kupewa muda sie baada ya kwenda takukuru haikuisha mwezi boss akalipa nssf shida iliopo now ni nssf pesa hakuna subiri wiki mbilu zitakua tayari mara mwezi mpaka sasa nimmiezi
Yani sisi huko kote tushaenda Hadi takukuru ila wanasema tu watashughulikia ila hamna la maana mpaka wa Leo mwaka umeisha wote wapo kimya na mwenye kampuni anapenda Sana kuhonga Yani wewe imagine wafanyakazi wanashinda kesi mahakamani alafu mwenye kampuni anaenda anakata rufaa na hii Mara ya pili na kesi inapigwa Tena tarehe.
 
Makazini huwa Kuna watu Wana roho mbaya Sana bila sababu
Acha kabisa mimi mpka leo nawaza wale wanaopeleka taarifa kwa boss huwa wanapata nini? Taarifa iwe basu taarifa ya maana ujinga mtupu. Mtu anaona kabisa email ni rejected mtareial wala haiusiani na boss anampelekea
Oh mara ana hadi mpesa yani tabu tu
 
Kati ya vitu vinavyouma katika maisha ni kufukuzwa kazi, nakumbuka miaka kadhaa nyuma baada ya kumaliza degree yangu nikabahatika kupata kazi kwenye kitaasisi kimoja ivi

Nikapiga kazi kwa kujituma saana aliekua boss wangu akawa ananichukia mno visa kila siku kikianza hiki kinakuja hiki nikawa
Mkuu uliwarahisishia sana.Labda kam ulikuwa na issues nyingine
 
Ila bado nawazo mtu hua anatafuta nini kwa boss kwenda kupeleka majungu, maana waza mtu kaona hyo email nliyoprint pamoja na homework za watoto, email yenyewe ukisoma sio cable ya ofisi lakin bado mtu kamforwadia boss hyo email, yan sehem za kazi wanafki wengi
Tena wapeleka umbeya wengi huwa ni watu wasio jiamini pia na bosi kumfukuza mtu bila uchunguxi au yeye kujitetea huwa sio fair kabisa
 
Ile ilikua family company kwa hyo mtu baki akiwa na maendeleo ilikua ni tabu lazima uwe mwizi accoarding to wao. Maana kwa mfano mm nimeingia napata support ya mume nlikua nna duka tayari la bidhaa za nyumban na tulikua na boda tano, sasa wanawaza huyu hatujalipwa miezi mitatu anapata wapi pesa ya kuishi akati sie tuna tabu unaandamwa mpk mwenyewe unaacha kazi
 
Acha kabisa mimi mpka leo nawaza wale wanaopeleka taarifa kwa boss huwa wanapata nini? Taarifa iwe basu taarifa ya maana ujinga mtupu. Mtu anaona kabisa email ni rejected mtareial wala haiusiani na boss anampelekea
Oh mara ana hadi mpesa yani tabu tu
Huwa ni kutokujielewa na kujiamini pia wataka waonekane wao ni Bora hujua kazi ni kuajiriwa tu. Tena wengine waweza kujifanya rafiki kabisa kumbe behind za scene ni joka hatari Sana.
 
Hii ilinifanya nijue dunia hatari hujui adui yako nani, maana najiona kazini sikua na adui kila mtu alikua rafiki yangu, walikua wakifika hadi kwangu kumbe hilo ndo kosa nililofanya
 
Duuu hapo sijhi shuda upo wapi maana jamaa alupoitwa takukuru ilibidi auze nyumba yake tulipwe nssf maana zilikua karibu 350m
Yani mkuu hili swala letu Hadi waziri mkuu majaliwa analijua na pia bwana Katambi anayeshughulika na Vijana na ajira analijua maana Kuna mwezi wa tatu mwaka huu alilivalia njuga baadaye Magufuli alivyofariki hatukusikia Tena anafatilia hata akipigiwa simu na text hajibu.
 
Nasi naona lilienda kasi maana aliambiwa atakua na kesi ya uhujumu uchumi 5yrs hajapeleka nssf za watu akaogopa mpk akauza mjengo wake masaki haki tukaipata ishu ipo sasa nssf toka mwaka jana njoo kesho kakmilishe hilimara file liko mezan wiki mbili mtapewa haki yenu mpka leo
 
Mkuu sisi wafanyakazi wa kiribo Ltd tunadai malipo ya kuachishwa kazi karibia bilion moja na pia NSSF bilion moja na serikali pia wanadai kampuni bilion 1 Yani jumla mwenye kampuni anadaiwa karibia bilion 3 na zote hizo serikali ipo kimya.
 
Hii ilinifanya nijue dunia hatari hujui adui yako nani, maana najiona kazini sikua na adui kila mtu alikua rafiki yangu, walikua wakifika hadi kwangu kumbe hilo ndo kosa nililofanya
Duuuuuhhhhh....!! Pole sana, ila mambo ya urafiki makazini hadi kutembeleana majumbani huwa ni kuji-set up kwa matatizo tuu, cha msingi nenda kazini, do your work then go home. Urafiki na ushosti makazini mara nyingi huishia kwenye umbea, unafiki na kugombana. you learnt it the hard way.
 
Ile ilikua family company kwa hyo mtu baki akiwa na maendeleo ilikua ni tabu lazima uwe mwizi accoarding to wao. Maana kwa mfano mm nimeingia napata support ya mume nlikua nna duka tayari la bidhaa za nyumban na tulikua na boda tano, sasa wanawaza huyu hatujalipwa miezi mitatu anapata wapi pesa ya kuishi akati sie tuna tabu unaandamwa mpk mwenyewe unaacha kazi
Ujinga mtupu hao watu hawa act professional kabisa aisee, mtu kwenda kazini doesn't mean anategemea mshahara waweza Kuta ametega magoal mengi mno
 
Hii ilinifanya nijue dunia hatari hujui adui yako nani, maana najiona kazini sikua na adui kila mtu alikua rafiki yangu, walikua wakifika hadi kwangu kumbe hilo ndo kosa nililofanya
Makazini hata ukipendeza ni kosa na hyo kupeleka watu nyumbani ndo haswa uliharibu maana walipatwa na wivu, mie shoga angu wa kusali pamoja alinichonifanyia huwezi amini ka ni yule mpenda Sala. In short kazini mtu asikujue Mambo yako.
 
Yani mkuu hili swala letu Hadi waziri mkuu majaliwa analijua na pia bwana Katambi anayeshughulika na Vijana na ajira analijua maana Kuna mwezi wa tatu mwaka huu alilivalia njuga baadaye Magufuli alivyofariki hatukusikia Tena anafatilia hata akipigiwa simu na text hajibu.
Nasi naona lilienda kasi maana aliambiwa atakua na kesi ya uhujumu uchumi 5yrs hajapeleka nssf za watu akaogopa mpk akauza mjengo wake masaki haki tukaipata ishu ipo sasa nssf toka mwaka jana njoo kesho kakmilishe hilimara file liko mezan wiki mbili mtapewa haki yenu mpka leo
Duuuuuhhhhh....!! Pole sana, ila mambo ya urafiki makazini hadi kutembeleana majumbani huwa ni kuji-set up kwa matatizo tuu, cha msingi nenda kazini, do your work then go home. Urafiki na ushosti makazini mara nyingi huishia kwenye umbea, unafiki na kugombana. you learnt it the hard way.
sure
 
Back
Top Bottom