Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Mm nishafukuzwa kibabe huku mfukoni Nina eflu 2 ya nauli,bank Nina elf 28,na hapo ni ktkt ya mwez,mwisho wa mwez ninatakiwa ada ya mtt private school, nimepewa barua ya kufukuzwa nikasepa,baada ya kuhangaika miez km mitano nikapata kaz mkoa mwingine,kazi ya maana kinyama,mshahara kule nilipofukuzwa ulikua 480k,nikapata kazi ya mshahara 915k take home,baada ya miez mi5 nikarud hom kusalimia,nikaonana na wafanyakaz wenzangu wa mwanzo kule nilipofukuzwa,wengi wanapongeza kuwa eti nimependeza,nimenenepa na kunidadisi nafanya kaz wapi,Mara njiani nakutana na bosi wangu yupo ndani ya gari na wafanyakazi wengine km wa3 HV,bosi akamwambia drv wake asimamishe gar akaniita na kuniuliza eti nafanya kazi gani na wapi?,,

Mara eti dah maisha umeyapatia kweli,naona umependeza km vile MD wa kampuni flani HV,nikamjibu nafanya kazi za ndani kwa mama ako kisha nikasepa zangu,.mpuuzi sana yule jamaa,hadi Leo nafanya kazi hapo hapo na mshara umepanda hadi 1.25m,na ki IST nimenunua na mjengo wangu nimemalizia.ukifukuzwa kazi unapata muda mzuri wa kutafuta kazi nzur maana bila hivyo una relax na kikazi ulichonacho na madeni kila kona
 
Kipindi cha uchaguzi vijana wengi walijaribu kugombea ubunge. Kuna jamaa akaenda kwao huko kugombea na aliomba likizo.

Sasa kuna HOD mmoja alikuwa kimbelembele anashadadia jamaa afukuzwe.

Nikamwambia akifukuzwa mshahara wake utakuwa wako?

Kuna mijitu ina roho mbaya sana.
 
Aisee nakumbuka ilikuwa mwaka 2014 nilipata kaz shule moja ya girls nilikuwa mchapa kaz sn boss alinipenda sn maana nilikuwa nafanya kaz ya records Mambo ya Ada na michango mingne lakini nilikuwa na faida nyngn Kama sekritari hayupo nilikuwa nasmamia show za kuchapa mitihani na Mambo mengine yote ya kuprint na kuchapa sasa alikuja mzungu mmoja mdada kaleta mtoto pale shulen na mi ndo nilikuwa napokea wanafunz nakagua kama wamelipa Ada na michango mingne Yan mi nilikuwa na uwezo hata wa Kimtoa nje mwanafunz ambaye hajakamilisha ada huyo mzungu alipofka akawa ananiangalia vile nachapa kazi kwa kila anayeingia na kutoka akanikubali sana sasa alinikubali zaid pale nilipomsaidia mtoto aliyekuja naye kuingia shulen wakati hakuwa amelipa ada kwan mzungu aliniomba nimpe rist ya ada halafu kesho atanipigia cm nikachukue pesa niitumbukze bank

Kwan ye muda wa kwenda bank amekosa kabisa basi bhana kweli kesho yake alinipa ile pesa lakin akaniulza nalipwa shs ngapi nikamwambia akasema nna mkataba nikamwambia hapana bs akanambia ana kampuni ya kukodisha magari anataka nikafanye kaz kwake anilipe mara mbili ya mshahara nnaolipwa shulen nikamwambia poa
kweli nilihamia huko kwa mzungu kimbembe kilikuwa hivi

Kumbe pale ofsn kulikuwa na mdada wa kimasai anaitwa joyce ndiye alitakiwa atoke pale ofsn ahamie kwny kitengo cha masoko na jamaa wengi madereva pale ofsn walikuwa hawampendi sn daaah aisee dada alikuwa na roho mbaya kama sura yake akawa anaenda kwa waganga ili nifukuzwe kazi maana hakupenda kutoka pale ofsn kwenda kwny masoko

Mara nikute kaz nilizofanya jana yakr zmefutwa kwny pc yan majanga tu boss nae akaanza kunichukia hatari bila sababu

Mdada akawa anaomba ruhusa hata ya wiki kumbe anaenda kwa waganga ili nifukuzwe kaz amlete rafiki yake ndo aje awe wa masoko ye arudi ofsn cha ajabu kaz hawez kabsa ila ni ana mdomo hatari mwisho wa sku nilichukia kbs kaz wkend ikiisha nakosa amani kabsa aisee nakumbuka bosi aliniita sku moja mbele ya huyo dada akawa ananifokea eti simuheshimu huyo dada mara huyo dada akawa anatamba eti tatzo mi smjui ye ni nani pale ofsn mmmh bosi akanambia natakiwa kumheshimu joyce sn kama bosi nilishangaa nmuheshimu kvp mbona sielewi aisee wakati ni binti tu kijana kama mimi au nmemkosea nn yan nikawa sjui kbs ndo nikpata taarifa kwa dereva mmoja kwmb joyce anasema mi nafanya sn kaz na bosi ananikubali sn sa uwenda mbele ya safari takuja kuwa mtu mkubwa sana ukizngatia nina elimu kubwa kuliko wafanyakaz wote na nna chapa kaz hatari

Siku moja niliitwa na bosi mbele ya wafanyakaz wote ilikuwa mwisho wa mwezi nashangaa nakabiziwa mshahara wangu by cash na kuambiwa sina kaz tena pale bila sababu za msingi skuumia sn maana nilishaona vitimbwi vya joyce ila niliwambia watu pale ofsn kama Mungu Aishivyo ikiwa nmefukuzwa kaz kisa joyce tena bila kosa lolote bs joyce hatomalza miezi miwili naye atatmuliwa kweli nilipata taarifa joyce alifukuzwa kwa aibu kubwa kwa kosa la kuitia hasara kampuni hata miezi miwili haikufka

Mengne ningesema wakuu baada ya kufukuzwa ilikuaje sema naogopa kuwachosha nyie acheni tu maisha haya maisha haya stasahau nilikuwa natembea kwa mguu toka goba mpk posta au mabibo hostel kwny internet kutafuta kaz nyngn online stasahau kabisa
 
Ila Afika Bhana

yaani hakuna tunachokifanya kikaenda smooth. Kiukweli tunahitaji kubadilika sana

just imagine; unaajiriwa ila boss anakutreat kama mnyama vile.... au from nowhere anakuchukia tu ili mradi kazi ikushinde😁😁
Acha kabisa yan boss anakuandama ukifika mlango wa ofisi tu moyo unaenda mbio, kisa tu upo job na unapiga mambo yako ya nje, yan maboss wengin hawataki ufanikiwe kabisa
 
Acha kabisa yan boss anakuandama ukifika mlango wa ofisi tu moyo unaenda mbio, kisa tu upo job na unapiga mambo yako ya nje, yan maboss wengin hawataki ufanikiwe kabisa
Kuna viofisi ukifika wafanyakazi wana hali mbaya sana.

Wenye afadhali ukiachana na boss utakuta ni Accountants na watu wa Procurement.
 
wako w
Pole sana. Ila watu wengi sana wanaonewa makazini na kufukuzwa kazi au kuresign kwa sababu tu hawajui haki zao kama wafanyakazi.
Kama hapo wewe ulichotakiwa kufanya ni usinge resign, usubiri jamaa wakufukuze kwa kosa hilo moja tu; Ungewaendesha sana iwapo baada ya wao kukufukuza ungeenda kwenye vyombo vya utetezi kama tume ya usuluhishi wa migogoro sehemu za kazi (CMA). Maana mfanyakazi hafukuzwi kazi kirahisi hivyo, lazima kuwe na ushahid kwamba alishaonywa mara kadhaa, sio kosa lake la kwanza na mambo kama hayo, ukipeleka kesi kama hiyo kwa jamaa wa CMA hao waajiri wako wangekukoma; na wangeamuriwa kukulipa fidia ya kutosha tuu.
Tena kwa taasisi za binafsi ndo huwa CMA wanawakalia zaidi kooni. Ila ndo hivyo pia waru wengi hata hawawajui hao CMA.
But anyways, god for you kwamba you have moved on na maisha yameendelea! kiroka
wako wapi hap ofisi zao mkuu nadhani nina haja ya kufika hata kabla sijaandika chochote hapa.. nije tu kuleta ushuhuda mzima
 
Sitaki kukumbuka kampuni ile, natakiwa kusimamia stocktaking and at the same time natakiwa kwenda manunuzi , cable zikaibiwa ...... Huku na kule nina fundi amepata kazi ya nje ya kusupply cable ukubwa tofauti hawezi kuwasiliana na kampuni ile kwa sababu barua zinatakiwa ziwe in english, nikamfanyia ile kazi, kumbe wenyewe wakasupply cable tofauti na ile waliyohitajika kusupply hivyo yule jamaa akapewa barua ya kurejct ile cable hivyo akanitumia mimi nimsomee kisha nimwambie inahusu nini na walipaswa kurejesha 5M ambayo walipewa before supply of that cable
Hiki kilikua kipindi cha corona sasa zile homework za watoto shule walikua wanatutumia wazazi ikawa naprint ofisini sijui nini kilitokea na ile barua boss akaipata ya rejected cable ambayo walipaswa kurwjesha ile 5 M wakachanganya na ka cable ka 2.5 kalikopotea yani hapo ndo mambo yakawa magumu mpk nikaandika barua mwenyewe ya kuacha kazi kwa kuwa wanasema sitakiwi kufanya kazi za nje zinazohusiana na umeme kabisa kwa sababu lazima waone ni mwizi
Ila bado nawazo mtu hua anatafuta nini kwa boss kwenda kupeleka majungu, maana waza mtu kaona hyo email nliyoprint pamoja na homework za watoto, email yenyewe ukisoma sio cable ya ofisi lakin bado mtu kamforwadia boss hyo email, yan sehem za kazi wanafki wengi
 
wako w

wako wapi hap ofisi zao mkuu nadhani nina haja ya kufika hata kabla sijaandika chochote hapa.. nije tu kuleta ushuhuda mzima
Wana ofisi mikoa yote ndani ya Tanzania kulingana na ulipo.
Cheki hii link Home | Commission for Mediation and Arbitration uangalie address na namba za simu za maofisa wa CMA kulingana na mkoa uliopo. Unaweza kuanza kwa kumpigia simu ofisa wa CMA wa ofisi ya mkoa uliopo kwa kadri ya namba walizoziweka, kwa kuanzia anaweza kukupa ushauri murua sana wa nini cha kufanya juu ya ishu yako, mimi binafsi hawa jamaa waliwahi kunisaidia sana nikapata haki zangu kutoka kwa muajiri ambae alinizingua, hadi leo nawaheshimu sana. Rcrusso Jr
 
Kuna viofisi ukifika wafanyakazi wana hali mbaya sana.

Wenye afadhali ukiachana na boss utakuta ni Accountants na watu wa Procurement.
Acha nafasi imenitesa hyo nikakomaa nikaanza kusumbuliwa moyo, nikaanza akuangaika hospital yalipozidi nikaandika barua mwenyewe, hata haki zangu sikufwatilia sema wakasimamia tamico nikalipwa haki zangu
 
Pole sana. Ila watu wengi sana wanaonewa makazini na kufukuzwa kazi au kuresign kwa sababu tu hawajui haki zao kama wafanyakazi.
Kama hapo wewe ulichotakiwa kufanya ni usinge resign, usubiri jamaa wakufukuze kwa kosa hilo moja tu; Ungewaendesha sana iwapo baada ya wao kukufukuza ungeenda kwenye vyombo vya utetezi kama tume ya usuluhishi wa migogoro sehemu za kazi (CMA). Maana mfanyakazi hafukuzwi kazi kirahisi hivyo, lazima kuwe na ushahid kwamba alishaonywa mara kadhaa, sio kosa lake la kwanza na mambo kama hayo, ukipeleka kesi kama hiyo kwa jamaa wa CMA hao waajiri wako wangekukoma; na wangeamuriwa kukulipa fidia ya kutosha tuu.
Tena kwa taasisi za binafsi ndo huwa CMA wanawakalia zaidi kooni. Ila ndo hivyo pia waru wengi hata hawawajui hao CMA.
But anyways, god for you kwamba you have moved on na maisha yameendelea! kiroka
Mkuu hao CMA na mahakamani saivi wamejaa Sana rushwa maana Kuna kesi yetu kwenye kampuni yetu ya Kiribo Ltd Sasa imemaliza mwaka na hatujalipwa chochote na tulifungua shauri ndani ya Muda ipo hivi yaani tuliachishwa kazi watu karibia hamsini hatukupewa stahiki zetu zozote na pia malipo yetu ya NSSF kule alikuwa hapeleki na kila tukishinda kesi za kukamatiwa vitu vyake viuzwe na barua anabandikiwa na dalali anaenda anakata rufaa na kurudia sababu zilezile na kesi inapelekwa Tena mbele imemaliza mwaka saivi na bado hakuna majibu yoyote zaidi ya kuzungushwa....!!!
 
Dooohhhh....!! Poleni sana mkuu, inasikitisha kusikia hivyo. Basi mimi tuseme sijui nilipata bahati kwa kweli walinisaidia sana, au pia inawezekana ni rahisi zaidi kesi za mtu mmoja mmoja kuliko kesi za makundi risk ya rushwa inakua kubwa zaidi maana kampuni wanakua na kitu kikubwa zaidi cha kupoteza iwapo wakishindwa.
 
Mkuu hao CMA na mahakamani saivi wamejaa Sana rushwa maana Kuna kesi yetu kwenye kampuni yetu ya Kiribo Ltd Sasa imemaliza mwaka na hatujalipwa chochote na tulifungua shauri ndani ya Muda ipo hivi yaani tuliachishwa kazi watu karibia hamsini hatukupewa stahiki zetu zozote na pia malipo yetu ya NSSF kule alikuwa hapeleki na kila tukishinda kesi za kukamatiwa vitu vyake viuzwe na barua anabandikiwa na dalali anaenda anakata rufaa na kurudia sababu zilezile na kesi inapelekwa Tena mbele imemaliza mwaka saivi na bado hakuna majibu yoyote zaidi ya kuzungushwa....!!
Takukuru pia wanasaidia kwan baada ya kuacha kazi kampuni ilipunguza watu na ikawa hawakkueka nssf zaid ya 5 yrs na zilizowekwa ni mwezi au miezi miwili
Chama cha wafanyakazi tamico kilisaidia, muhumi mkienda cma muwe na taarifa ya vikao walau vitatu ambavyo mmekaa na muajiri na hao tamico kisha takukuru wanamuita boss wenu na kupewa muda sie baada ya kwenda takukuru haikuisha mwezi boss akalipa nssf shida iliopo now ni nssf pesa hakuna subiri wiki mbilu zitakua tayari mara mwezi mpaka sasa nimmiezi
 
Back
Top Bottom