Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Ujinga mtupu hao watu hawa act professional kabisa aisee, mtu kwenda kazini doesn't mean anategemea mshahara waweza Kuta ametega magoal mengi mno
Kabisa, yani kama mimi.na mwenzangu ilikua mshahara ni kwa ajili ya kodi na ada kwa hyo hata ikichelewa ilikua hainiatahiri sana
 
Makazini hata ukipendeza ni kosa na hyo kupeleka watu nyumbani ndo haswa uliharibu maana walipatwa na wivu, mie shoga angu wa kusali pamoja alinichonifanyia huwezi amini ka ni yule mpenda Sala. In short kazini mtu asikujue Mambo yako.
Pole hapo kwenye kupendeza ndo shughuli, kwan we viatu nguo unatoa wap akati hatujalipwa, come on umesahau kua mie nahudumiwa na mume wangu yani kazin watu wakiwa na shida na wewe inabidi uwe na shida ila ikiwa tofauti kazi itakua chungu. Na bado ukiwa na hizo shida ypu wont rest leo kaja hayuo kawaida labda kagombana na mume wake yan mradi iwe tabu
 
Siku zote Mungu utuandalia pazuri kupitia maumivu.
Wapo waliofanikiwa baada ya kufukuzwa Kazi.
Wapo leo wanaomshukuru jiwe kwa kuwafukuza Kazi sababu ya vyeti.
Wapo taasisi binafsi wengine wapo nje ya nchi wanakula package nono mara 5 ya walipofukuziwa.
Everything happens for reasons,japo ni ngumu.
Jamaa zangu wamefukuzwa Kazi baada ya kupewa asante kwa kuwahudumia wateja vizuri,wakubwa wakatafsiri ni rushwa bila ushahidi.
 
Aisee nakumbuka ilikuwa mwaka 2014 nilipata kaz shule moja ya girls nilikuwa mchapa kaz sn boss alinipenda sn maana nilikuwa nafanya kaz ya records Mambo ya Ada na michango mingne lakini nilikuwa na faida nyngn Kama sekritari hayupo nilikuwa nasmamia show za kuchapa mitihani na Mambo mengine yote ya kuprint na kuchapa sasa alikuja mzungu mmoja mdada kaleta mtoto pale shulen na mi ndo nilikuwa napokea wanafunz nakagua kama wamelipa Ada na michango mingne Yan mi nilikuwa na uwezo hata wa Kimtoa nje mwanafunz ambaye hajakamilisha ada huyo mzungu alipofka akawa ananiangalia vile nachapa kazi kwa kila anayeingia na kutoka akanikubali sana sasa alinikubali zaid pale nilipomsaidia mtoto aliyekuja naye kuingia shulen wakati hakuwa amelipa ada kwan mzungu aliniomba nimpe rist ya ada halafu kesho atanipigia cm nikachukue pesa niitumbukze bank

kwan ye muda wa kwenda bank amekosa kabisa basi bhana kweli kesho yake alinipa ile pesa lakin akaniulza nalipwa shs ngapi nikamwambia akasema nna mkataba nikamwambia hapana bs akanambia ana kampuni ya kukodisha magari anataka nikafanye kaz kwake anilipe mara mbili ya mshahara nnaolipwa shulen nikamwambia poa
kweli nilihamia huko kwa mzungu kimbembe kilikuwa hivi

kumbe pale ofsn kulikuwa na mdada wa kimasai anaitwa joyce ndiye alitakiwa atoke pale ofsn ahamie kwny kitengo cha masoko na jamaa wengi madereva pale ofsn walikuwa hawampendi sn daaah aisee dada alikuwa na roho mbaya kama sura yake akawa anaenda kwa waganga ili nifukuzwe kazi maana hakupenda kutoka pale ofsn kwenda kwny masoko

mara nikute kaz nilizofanya jana yakr zmefutwa kwny pc yan majanga tu boss nae akaanza kunichukia hatari bila sababu

mdada akawa anaomba ruhusa hata ya wiki kumbe anaenda kwa waganga ili nifukuzwe kaz amlete rafiki yake ndo aje awe wa masoko ye arudi ofsn cha ajabu kaz hawez kabsa ila ni ana mdomo hatari mwisho wa sku nilichukia kbs kaz wkend ikiisha nakosa amani kabsa aisee nakumbuka bosi aliniita sku moja mbele ya huyo dada akawa ananifokea eti simuheshimu huyo dada mara huyo dada akawa anatamba eti tatzo mi smjui ye ni nani pale ofsn mmmh bosi akanambia natakiwa kumheshimu joyce sn kama bosi nilishangaa nmuheshimu kvp mbona sielewi aisee wakati ni binti tu kijana kama mimi au nmemkosea nn yan nikawa sjui kbs ndo nikpata taarifa kwa dereva mmoja kwmb joyce anasema mi nafanya sn kaz na bosi ananikubali sn sa uwenda mbele ya safari takuja kuwa mtu mkubwa sana ukizngatia nina elimu kubwa kuliko wafanyakaz wote na nna chapa kaz hatari

sku moja niliitwa na bosi mbele ya wafanyakaz wote ilikuwa mwisho wa mwezi nashangaa nakabiziwa mshahara wangu by cash na kuambiwa sina kaz tena pale bila sababu za msingi skuumia sn maana nilishaona vitimbwi vya joyce ila niliwambia watu pale ofsn kama Mungu Aishivyo ikiwa nmefukuzwa kaz kisa joyce tena bila kosa lolote bs joyce hatomalza miezi miwili naye atatmuliwa kweli nilipata taarifa joyce alifukuzwa kwa aibu kubwa kwa kosa la kuitia hasara kampuni hata miezi miwili haikufka

mengne ningesema wakuu baada ya kufukuzwa ilikuaje sema naogopa kuwachosha nyie acheni tu maisha haya maisha haya stasahau nilikuwa natembea kwa mguu toka goba mpk posta au mabibo hostel kwny internet kutafuta kaz nyngn online stasahau kabisa
Kwani kwa mzungu haukuenda
 
Makazini hata ukipendeza ni kosa na hyo kupeleka watu nyumbani ndo haswa uliharibu maana walipatwa na wivu, mie shoga angu wa kusali pamoja alinichonifanyia huwezi amini ka ni yule mpenda Sala. In short kazini mtu asikujue Mambo yako.
Kuna mfanyakazi mmoja ameachishwa kazi baada ya kupata msiba watu wameenda kumpa pole kufika wakakuta mjengo wa maana
Alivyorudi kazini anaulizwa hela ya kujenga nyumba kama hii kaipata wapi
 
Pana mtu alifukuzwa Kazi akasota miaka akapambana akafanikiwa kufungua kampuni akapiga pesa hadi kujuta alikuwa wapi kupoteza mda kuajiriwa.
Kuna mtu alifukuzwa Kazi kwa chuki akarudi kijijini amekata tamaa kabisa,ukaja mradi wa parachichi akatumia mashamba yao akajikita kwenye parachichi leo ana miliki mabilioni, milioni 300 anaingiza kwa mchumo mmoja tu.Ana pesa majumba na magari ambayo hata waliomfukuza Kazi hawatoweza kuja miliki duniani.
Unaweza ukafukuzwa Kazi kumbe umepigwa chura teke.
Muhimu ni kutulia fanya meditation yaani mtafakari Mungu ongea na Mungu lzm utaliona kusudi.
Utasimama utasonga.
 
Kati ya vitu vinavyouma katika maisha ni kufukuzwa kazi, nakumbuka miaka kadhaa nyuma baada ya kumaliza degree yangu nikabahatika kupata kazi kwenye kitaasisi kimoja ivi

Nikapiga kazi kwa kujituma saana aliekua boss wangu akawa ananichukia mno visa kila siku kikianza hiki kinakuja hiki nikawa Nina stress saana na kazi

Mara nikajikuta naambiwa nimewatukana staff mate wenzangu yaan balaa juu ya balaa, nakumbuka nlienda likizo ya kawaida kama ilivyo haki ya mfanyakazi yoyote nikiwa likizo watu wa kazini wakanitonya kua kuna mtu kaajiriwa anafanya majukumu yangu ni balaa,

Siku narudi kazini namkuta mfanyakazi mpya kakalia kiti changu na anatumia computer yangu nikashindwa nikae wapi na nifanye majukumu gani mzee nikashinda bench cku nzima, baada ya happy tukawa tunafanya kazi kwa kupokezana kwenye computer nlokua natumia Mimi shida hizi jaman

Bas bhana aliekua msaidizi wa boss wangu akaniita kiutu uzima akanambia apa kazi hamna kama unaweza apply sehemu nyingine wenzio wanakusubiria uteleze kidogo tu wakule kichwa, nikabaki dilemma basi cku moja foleni za mjini apa nikachelewa kuingia kazini km dakika kumi ivi boss akawaandikia HR office kama hayupo tayari kufanya kazi na Mimi

Hr mmoja akanambia kama naweza ni andike resignation letter au nisubirie kufukuzwa nikaona maji yamekua mengi nikaandika barua ya kuacha kazi kwa mwezi mmoja boss akaacha kunifatilia tangu siku nlipoandika barua nikawa naingia kazini kiubish mpk mwezi ukaishi nikalipwa mafao yangu mambo yakawa yanasonga

Ugumu wa kwanza baada ya kuacha kazi ni ile hali ya kuamka asbuhi hujui uende wapi, unajikuta unachukia sehemu ulokua unafanyia kazi hata kupapita hutaki tena marafiki wa kazini wanakutenga na wengine wanakupotezea kabisaa majirani na ndugu wanaanza kukusengenya usipojipanga unaweza kujiua

Nashukuru Mungu nliweza kupambana na maisha bila kazi nimecmama tena nje ya ajira
Ongera mkuu
 
Kuna mfanyakazi mmoja ameachishwa kazi baada ya kupata msiba watu wameenda kumpa pole kufika wakakuta mjengo wa maana
Alivyorudi kazini anaulizwa hela ya kujenga nyumba kama hii kaipata wapi
Engineer nikua nae ofisin aliipitia hii baada ya mama ake kufariki mjengo waliokuta jamaa amerudi kazin hakuna rangi aliacha kuona
 
Pole sana. Ila watu wengi sana wanaonewa makazini na kufukuzwa kazi au kuresign kwa sababu tu hawajui haki zao kama wafanyakazi.
Kama hapo wewe ulichotakiwa kufanya ni usinge resign, usubiri jamaa wakufukuze kwa kosa hilo moja tu; Ungewaendesha sana iwapo baada ya wao kukufukuza ungeenda kwenye vyombo vya utetezi kama tume ya usuluhishi wa migogoro sehemu za kazi (CMA). Maana mfanyakazi hafukuzwi kazi kirahisi hivyo, lazima kuwe na ushahid kwamba alishaonywa mara kadhaa, sio kosa lake la kwanza na mambo kama hayo, ukipeleka kesi kama hiyo kwa jamaa wa CMA hao waajiri wako wangekukoma; na wangeamuriwa kukulipa fidia ya kutosha tuu.
Tena kwa taasisi za binafsi ndo huwa CMA wanawakalia zaidi kooni. Ila ndo hivyo pia waru wengi hata hawawajui hao CMA.
But anyways, god for you kwamba you have moved on na maisha yameendelea! kiroka
True wengi ufukuzwa kwa uonevu sababu awajui haki zao.Pili wengi upotezea na kuamua kutafuta njia zingine za maisha.
Hawa CMA wapo wapi.Kuna mtu kafukuzwa Kazi kwa kupewa tipu kama asante baada ya kutoa huduma nzuri kwa mteja yaani asante ya soda tena elf 5.Halafu ipo mijizi inafilisi taasi kama nssf, wengine wanakutwa na mabilioni na wala awachukuliwi hatua wanapangia kwingine wakazitumbue.
Waafrika tuna roho mbaya sana yaani unamfukuza Kazi mtu kisha kapewa elf 5 akanywe soda,hali we ni mpigaji mkubwa,
 
Ukiangalia hata watumishi wengi waliojela au kesi ni vi hela vidogo vidogo tu lakini mijizi mikubwa kama kina chenge, bashite, kakoko,dau,haikamatwi upangiwa vitengo waendelee kupiga tu.
Lakini aliyepewa ya brush anashughulikiwa haswaa utadhani kakutwa na bomu la nyuklia.
 
True wengi ufukuzwa kwa uonevu sababu awajui haki zao.Pili wengi upotezea na kuamua kutafuta njia zingine za maisha.
Hawa CMA wapo wapi.Kuna mtu kafukuzwa Kazi kwa kupewa tipu kama asante baada ya kutoa huduma nzuri kwa mteja yaani asante ya soda tena elf 5.Halafu ipo mijizi inafilisi taasi kama nssf, wengine wanakutwa na mabilioni na wala awachukuliwi hatua wanapangia kwingine wakazitumbue.
Waafrika tuna roho mbaya sana yaani unamfukuza Kazi mtu kisha kapewa elf 5 akanywe soda,hali we ni mpigaji mkubwa,
Link yao ya contacts na address za ofisi zao mikoa yote Tanzania hii hapa Home | Commission for Mediation and Arbitration
kalonji
 
Alafu kibaya zaidi pesa unayo lipwa unakuta ya dharau vibaya mno.

Sina mke pesa ninayolipwa peke yangu tu hainitoshi sasa nikiongeza na mwanamke itakuaje. !?

Nakumbuka niliwahi kufanya kazi sehemu nalipwa laki 2 kwa mwezi,
Alafu kuna jamaa angu, alikua jobless nakaa nae mala akapata kazi, kasoma inshu za kusfisha madini.
Jamaa miezi sita ya mwanzo tu mshahara ni m 1.4 aisee hapo ndo niliposanuka sipo sehemu sahihi hata kidogo.

Haya maisha sio ya kubweteka na kaajira ka private unafanyishwa kazi zaidi ya masaa 8 kwa siku na hakuna cha mafao wala nini.
Kampuni za nje ulipa vizuri Sana.Shida ni sisi waswahili
 
Kuna mfanyakazi mmoja ameachishwa kazi baada ya kupata msiba watu wameenda kumpa pole kufika wakakuta mjengo wa maana
Alivyorudi kazini anaulizwa hela ya kujenga nyumba kama hii kaipata wapi
Engineer nikua nae ofisin aliipitia hii baada ya mama ake kufariki mjengo waliokuta jamaa amerudi kazin hakuna rangi aliacha kuona
 
Link yao ya contacts na address za ofisi zao mikoa yote Tanzania hii hapa Home | Commission for Mediation and Arbitration
kalonji
Poa.Kuna mama mmoja mpumbavu Sana anawafukuza watu Kazi anavyojisikia thus Mungu kamlaani hana familia wala mume yupo tu muhuni wanajichapia tu angekuwa na familia asingekuwa na roho yake mbaya.Ukimuua mama kuku tazama vifaranga vyake.Watu wafukuzwe Kazi kwa kufuata sheria na sio maamuzi binafsi.
 
Mimi nimewahi kufundisha shule fulani private. Mkuu wa shule alikuwa na mambo ya kiwaki kisenge.

Sometimes, anaweza kukufokea hata mbele ya wanafunzi.

Ikifikia tarehe za mishahara basi ndio kufoka nje nje. Nyumba niliyokuwa nimepewa ilikuwa karibu na ya kwake, so, sometimes washkaji wakija gheto mkawa mnaongea kwa nguvu mnabishana mnacheka, anawaibukia anafoka Walimuu mnapiga kelele kama watoto wa primary[emoji1787]

Nikawa najisemea tu huyu dawa yake iko jikoni.

Kuna wakati tunakaribia kuchukua mshahara, mwisho wa mwezi akawa anafoka, ooh kama hujaandika scheme of work na lesson plans sikulipi mshahara [emoji1787] ( walimu wanaijua hii midude )

Basi nikajipinda nikaandika hayo ma-scheme of works ( plan ya miezi 6 ) na lesson plans, nilivyomaliza nikampelekea.

Akasema poa, nenda kwa Accountant akupe mshahara wako. Nilivyolipwa tu, nitatafuta muda huyo mkuu wa shule hayupo, nikaiingia ofisini kwake nikayaiba hayo scheme of works nikaenda nikayachoma moto halafu nikaacha kazi, nikasepa[emoji1787]. Ilikuwa 2013 hiyo.

Kiukweli mimi kuvumilia dharau nilishashindwa kabisa. Siwezi.

Mimi chuoni nimewahi kumfuata Lecturer ( HoD ) ofisini kwake nikamtukana. Alikuwa ananisumbua sana.

Mimi probably nitakuja kumnyenyekea mtu nikiwa na watoto 6, mmoja ana ugonjwa wa kudumu, nadaiwa kodi ya nyumba, mama ana matatizo.

Hapo nitajitahidi kunyenyekea. Kwasasa nitakuwa muongo. Sitaweza.
Safi kabisa
 
Ila Afika Bhana


yaani hakuna tunachokifanya kikaenda smooth. Kiukweli tunahitaji kubadilika sana

just imagine; unaajiriwa ila boss anakutreat kama mnyama vile.... au from nowhere anakuchukia tu ili mradi kazi ikushinde😁😁
Tatizo lipo kwenye mfumo wa malezi yetu.
 
Back
Top Bottom