Tuliowahi kufukuzwa kwa watu/kwa ndugu tukumbushiane ilikuwaje

Haaaaa
 
Duh mkuu story yako inasisimua sana, especially kwenye kisa cha kwanza
 
Duh mkuu umenichekesha sana

Huyo ndugu yako alikiwa kimeo sana
 
Miaka kama 20 imepita,ila NAKUMBUKA EVERY INCH PART OF IT!!

huyo mdogo wangu mnyang'anye mke atakuachia!!
Ila mguse dadake anaweza akufanye mshkaki
 
Nahisi naweza kuja kutoa posa kwenu nikuchukue uko vzr
hhahahhahahhaha nimeshaolewa mkuu!
Njoo uoe binti zangu!!
Ila ujipange!!
Vya kurithi huzidi Mara dufu!
Although am the coolest person ever!!
Ila kuna mipaka ukivuka nakuharibu sura!!
Sipendi hii aina ya hasira na naweza hesabu nimefikia Mara ngapi in life!!
 
Mimi ni sister!
Umeongea nimekumbuka nilivolazimika kuingia ndani na kumfukiza na maji baada ya kuingia ndani!
Baridi la saa saba usiku NYUMBA iko mlimani hivi!!/
Aseeh acha!!
 
Hongera may be bila misimamo yako msingefika mbali
 
Maza ndogo alisepa ama ulimwonea huruma.
Ilibidi asepe!!
Mi sikujiunga na CHUO kikuu staigh ikabid nianze kazi ili nimsomeshe dogo na kupata hela ya kula!!
ALIPOSOGEA NA SHULE NDO NIKARUDI CHUO!!
 
Haaaaaaa daah mkuu umetishaaa
 
Mkuu poleee sanaaaa!! Pia siyo vibaya mkuu ukatushirikisha tukajifunza
 
Haha Mimi enzi za utoto wangu nikienda kwa ndugu nikiona treat tofauti na hom. Wakati wa kupata dinner natoa live tu "kesho nasepa na sitaki kurudi tena kwenu" nkawa najua Mimi ni rude boy ila nashangaa adi vacations za Disney land npo kwenye list. Am not very social, huwezi ata kuniambia nishike ufagio.. I just sleep and stay in my room..nacheza video games yani na tabia zote zinazofanya ugumu kuishi na Mimi . I just know am lucky ..
 
Salute kwako. [emoji106][emoji123]
 
Daaah mkuu pole sanaaaa but hongeraa kwa kusamehe pia
 
Haaaaaaaaaa mkuu nimesharijuaaaa
 
 
Miaka iliyopita niliwahi kuishi kwa baba anguu mkubwa kiukweli baba angu alikuwa ni mtu mwenye roho nzuli sana ya kupenda ndugu ila tuu mke wake hawakuwa na roho nzuliii.

Nakumbuka nilivyokuwa mtoto wakati naishi mke wake na watoto wa ba mkubwa walikuwa wananifanyia vituko vya kila aina ilifika hatua walinigeuza kama mfanyakazi wa ndani haikuishia hapo kila siku ya mungu nilikuwa mtu wa kubambikiziwa kesi mara hivi mara vilee mara umeiba umeiba kile ilifika hatua nilifukuzwa kama mbwaa wakidai mimi ni mwizii na mdokozi iliniuma sana.

Lakini waswahili husema maisha ni safari ndefu baada ya kupambana na maisha nashukuru leo hii nina kazi yangu nina maisha yangu wale ndugu.

Lakini pia nashukuru mateso na manyanyaso toka kwa ndugu na mama mkubwaa kwa maana ule uchungu wa kunyanyaswa ulinifanya nipambane na maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…