Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,209
- 2,840
Huyo atakua na matatizo yake binafsi.Nikikua likizo kwa ndugu sasa bahati mbaya siku nikasahau sijui ndo kupitiwa sikumsalimia asubuhi akanambia niondoke kwake yaan nilishangaa sana. Na siku zote nlikua namsalimia