Tuliowahi kujamba ushuzi mkali wa kunuka kwenye halaiki ya wa tukutane hapa

Ukiingia chooni masaa mawili unapakua tu.
 
We kijana ni hatari mno,hakika ulifanikiwa kuunda micro nuclear weapons bila kuwa na leseni. It's real funny ,nimecheka haswaa
 
We kijana ni hatari mno,hakika ulifanikiwa kuunda micro nuclear weapons bila kuwa na leseni. It's real funny ,nimecheka haswaa
mkuu umeamua kufukua kaburi...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuna ile style ya kunyambaaaa ushuzi unapita kwenye papuchi kama tetemeko la ardhi mashavu yote yanatikisika prappapapapaprupuuuuuprapapapapapraaa
Hahaahaaaaa,hakika huu uzi noma mno hasa hilo tetemeko la bonde la ufa[emoji3]
 
mkuu umeamua kufukua kaburi...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hatari iliyosalama mkuu yaani nipo kikaoni nimecheka mpaka jamaa kaniuliza nini tatizo. Related story kuna wakati nimetoka zangu dar-moro ndani ya hood,kuna Dada madaido kibao ndani ya miniskirt matata kashikilia castle za kopo anabwia moja baada ya nyingine. Picha linaanza maeneo ya eneo moja nadhani bwawani bidada kamfata konda apate huduma ya kuchimba dawa ,kasheshe ni hood ikawa inafukuzana na abood basi Dada akaambiwa hatusimami eneo hili kuna ajali nyingi. Dada ndani ya dk tano valve kazibana mpaka mwisho hola Mara sura ikawa nyekundu ameiva haswaa angeuka angle zote zinazofahamika hapa duniani. Baada ya dk kumi gari ikasimama achimbe Dada daah anasimama makalio yamelowa na alishuka kichwa chini kama kuku wa kideli. Baada ya shughuli Dada akamwambia konda tuondoke tu sasa sijui alifanyaje na mpaka siku hiyo nimepata fundisho sio vema kula na kunywa hivyo ukiwa safarini
 
Hahahah mkuu itakua kuna mtu alikunya
 
Hahahhaa [emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ulikua usicheke mkomae tu
 
Wakati tunasoma nikiwa na Pascal Mayalla darasa moja, siku moja tukiwa kwenye hice Pascal aliachia ushuzi mmoja matata hadi Dereva akasimamisha gari kwa muda na kuwaruhusu abiria wapunge hewa kwa dakika tano.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
MKUU UNATENGENEZA BOMU TUMBON
 
Sio hunyamagi ni hujambagi??
Kuna tofauti ya kujamba na kunyamba ndugu

Kujamba ni ile kawaida kutoa hewa chafu ya ukaa ikiambatana na mlio unaotokana na mtetemo wa puru.

Kunyamba ni kuachia hewa ya ukaa kimyakimya bila sauti(silencer),hapa puru halitoi sauti bali kinachotoka ni ile hewa chafu tu ya ukaa ikiambatana na harufu kali sana mfano wa muunganiko wa madampo kumi na saba.

Pia kunyamba kunaweza kufanya mtu azimie kwa muda baada ya kuvuta hewa pia kuna mahala inaweza kukufanya upauke ngozi ukikatishe eneo la tukio.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…