Tuliowahi kujamba ushuzi mkali wa kunuka kwenye halaiki ya wa tukutane hapa

Hapo ulipiga kitu kinaitwa ..."ushuzi wa ngomani,mjambaji hajulikani"...Hapo ni full mtafutano huku mmeziba pua,mdomo na ikiwezekana macho maana unakuwa ushuzi mkali hadi macho yanawasha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah humu Leo nacheka tu
 
Sitomsahau yule fundi.

Ni miaka takribani minne sasa tangu anyampe pale jikoni, lakini mpaka Leo kila nikipita pale nahisi harufu ya nguruwe uliyooza.

Fundi popote ulipo, Ndugu yangu umejaliwa HEWA ya UKAA ya uhakika baba. Ukikaa na akina Aliko Dangote wanaweza kuiteka na kuifanya Mali ghafi viwandani.

Ukikaa na polisi, unaweza kutumiwa kutawanya waandamanaji na kutuliza ghasia.

FFU mtafuteni fundi awagawie jambio lake, liko saaawa sana
 
Nimecheka sana, dogo pumbafu wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna ile style ya kunyambaaaa ushuzi unapita kwenye papuchi kama tetemeko la ardhi mashavu yote yanatikisika prappapapapaprupuuuuuprapapapapapraaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ah kudadeki,watu mmepinda humu..
Hiyo sio mnyambo tena,hilo tetemeko nahisi ni zaidi ya vibration ya Philips A10
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ah kudadeki,watu mmepinda humu..
Hiyo sio mnyambo tena,hilo tetemeko nahisi ni zaidi ya vibration ya Philips A10
Minyambooooo. Com
 
Yaani nimecheka sana cz Leo tu kuna bwana kanyamba kwenye Daladala bila aibu,halafu kawahi kufungua kioo,
Tena next tym mkitaka kumjua mnyambaji basi mtaona wala hata ahangaiki na sometime anajifanya hata hajasikia harumu, kumbe yeye ndiye mhusika mkuu
 
Acha mambo ya kishoga.
 
Anapaswa kutengenezewa tisheti na mgongoni iandikwe "MNYAMBO.COM"!
 
Ni mambo ya kitoto sana ila jamaa alivyoandika ameandika kiuhalisia sana, kiukweli amependezesha siku yangu, nimecheka kwa amani sana japo nina masikitiko ya uchaguzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…