Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Je suit e tudiant a lecole de secondaire dazania ausii,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guten morgen. Und wie geht es dir?
Hiyo lugha naifahamu maneno machache sana mkuu, as i grew up kwenye familia ambayo wazee walikuwa fluent kwenye hiyo lugha, wakitaka kukujadili ukiwa nao, wanaswitch tu huko halafu baada ya mjadala wanarudi kwenye ile tuliyozoea, so kwa hasira nikaamua na mimi ni pambane na French.
 
hahahah,,, mimi ndio nimeanza kujifunza kijerumani mkuu. Nataka mpaka corona inaisha niwe fluent speaker.
 
hahahah,,, mimi ndio nimeanza kujifunza kijerumani mkuu. Nataka mpaka corona inaisha niwe fluent speaker.
Pambana mkuu, nadhani pale Goethe Institute wanafundisha lugha kama nitakua sijakosea, mimi napambana na French mkuu.
 
Nikimalizana na german ntakuja kwenye french....
Pambana mkuu, nadhani pale Goethe Institute wanafundisha lugha kama nitakua sijakosea, mimi napambana na French mkuu.
 
Nikijifunza YouTube nitaeeza?
Nina mavideo kibao nimedownload ya kujifunza french na vitabu
 
Imenisaidia maonesho ya sabasaba. Niliongea ingawa broken kwa wafaransa flani hivi lakini nilichukua ujiko kwa KE kibao za kibongo nilivyowatafsiria.

Nikawaambia msinichukulie poa. Maza mmoja wa kichaga akanipa mito miwili ya zawadi maana hawakuwaelewa wale wafaransa wanataka nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…