Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Wakuu,

Nilijifunza Kifaransa na nikawa mzuri mno, ila kwa sasa nimesahau karibu mambo mengi mno tatizo likiwa ufinyu wa wazungumzaji hivyo nikashindwa kukuza lugha.

Tuliowahi kujifunza hii lugha, karibuni.

Bonjour? sava?
Mkuu Umeshindwa kuandika neno dogo Çava unatuandikia Sava.

Sijui umejifunza hii Lugha wapi??
 
J'enseigne la langue française pour ceux qui êtes à Dar veuillez me consulter
 
Niliwahi kuisoma hii lugha f1 na f2 pale Azania tatizo lilikua Mwalimu anaefundisha ni kama anabahatisha, ikanishinda kabisa kumuelewa.


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Nakumbuka kwenye discussion ile kipengele ya j'ai fini, je besois simple question parcque je sui le de' butantce's.
Sms za Je t'aime vous nk
Tatizo hii lugha unaweza kuongea vizuri ikija kwenye kuandika unachapia hatari

Wana grammar ngumu hawa
 
Kifaransa mara ya kwanza najifunza nakutana na kila kitu kina jinsia.

Saivi sikumbuki kitu vitu vichache sana nakumbuka

French Portuguese Spanish Italian ni lugha zenye u feminine na masculine...don’t forget Catalan na Romanian
 
Back
Top Bottom