Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Kifaransa mara ya kwanza najifunza nakutana na kila kitu kina jinsia.

Saivi sikumbuki kitu vitu vichache sana nakumbuka
 
Mimi najua kifaransa, kuongea( accent pia)kuandika na kusoma kwa asilimia kuubwa sana

Je connait la langue française, de parler, d'écrire et de lire......

Tatizo lipo kwenye kutofautisha muscular na femina, na vile vi slash kwenye herufi kama "e" wanaita "accent" mfano telecommunication wataweka télécommunication.....
 
Back
Top Bottom