Tuliowahi kukamatwa ugoni tukutane hapa

🀣🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23]my friend huwa na bastola ana jiamini Sana mda wote anayo na imesha musave mara nyingi Ila shida ni kero kuilinda mda wote
 

Halafu wao wanaona kutolewa marinda ndio shida....ila mtoa marinda anakuwa shujaa.....hii dunia hii ya ajabu sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]my friend huwa na bastola ana jiamini Sana mda wote anayo na imesha musave mara nyingi Ila shida ni kero kuilinda mda wote
Bunduki ni adhabu na mzigo,sema husaidia sana kwenye matukio
 
Mm nikiendaga lodge na demu(regardless Ni mke wa mtu au la) naendaga na vitu vifuatavyo.

1 kisu Cha kukunja
2 bisibisi
3 lighter (naiset iwake Moto mkubwa Sana)


Ukija vibaya unaacha uhai guest/lodge
Dhambi huzaa dhambi
 
Kuvunja ndoa ya mtu ni laana itakayokutafuna daima. Waweza kuona ni tendo la ushujaa lakini utalipa gharama kubwa maishani mwako. Yakupasa kujutia.
 

Huyo mume ana akili sana. Yaani wee ni kideal na mwanamke tuu mwanaume mwenzio umfumue marinda ili iweje sasa...
 
Abakwe tu kwani kuwa baba watoto ndio nini kwangu?
 
Hivi mnapataga wapi ujasiri wa kutembea na wake za watu, au marinda yenu mshayaweka rehani kua liwalo na liwe.

Maana hata kabla ya kukamatwa adhabu yake inajulikana wazi kua ni fumuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…