Tuliowahi kukamatwa ugoni tukutane hapa

Tuliowahi kukamatwa ugoni tukutane hapa

2017,mdogo wenu Kilwa94 almanusura nidakwe na shemeji yenu.Ipo hivi nilivusha mchepuko home wakati huo shemeji yenu mkubwa(mchepuko wa kudumu) alikuwa kazini,basi bana kumbe majirani waliniona wakati navusha hivyo wakamtaarifu shemeji yenu(mchepuko wa kudumu) ambaye alikuwa zake huko town kazini.Basi bana mi sijui hili wala lile nipo bize na mtoto wa watu tunakula mate huku namchomoa nguo moja moja.Mara nasikia mlango unagongwa,nikaenda kufungua nikamkuta shemeji yenu mkubwa kafura,macho mekundu..!

Akili ikanambia "mpishe apite,aingie ndani" nikampisha dada wa watu huyo mbiombio hadi chumbani,alitumai atakutana na yule demu kule chumbani kumbe la hasa! mi na mchepuko tulikuwa tumefikia sebureni na hapo ndio tulikuwa tunaanza kuandaana then twende chumbani kunako 6x6 kwaajili ya 'kukobatana'.Alipo ingia chumbani tu mzee nikamfata kwa nyuma,nikamfungia mule chumbani halafu nikamtoa mchepuko niliyekuwa naye mbio mbio,ijapokuwa majilani walimuungia ila hawakumkamata.[emoji2][emoji3] hapa nilitumia mbinu ya kijeshi! Na hiyo ndio ilikuwa ponapona yangu ya kukamatwa ugoni(kufumaniwa).
Duuh aisee
 
Daah hii inanikumbusha mbali kipindi hicho nafukuzia kitoto fulani kizurikizuri cha sekondari. Dogo tulichat vizuri tu mchana akanipanga niende kwao siku hiyo jioni.

Huku na huku mzee kama kawa ile jioni nikajivuta hadi maskani kwa yule mtoto ilikuwa kama saa mbili hivi usiku wa kigiza. Yey alikuwa anaishi na wazee wake. Nimefika nacheki simuoni yule mtoto mzee nikaamua kubana kwenye upeno wao hadi kieleweke.

Baridi linapiga si kawaida hlf hamna dalili ya mtoto kutokea...daah ama kweli wanaume tumeumbiwa mateso. Nmekaa pale mara nikakaona kadogo kake yule manzi nkakaita kakaja kule gizani nkakaagiza kamwite dadake. Kakakubali kakatoka mbio kuingia ndani kwao. Mzee nikajua yes mambo yamenyooka....Sasa bwana kilichofuata ndo kinafurahisha.

Nimengoja kama dakika 6 au 7 hivi nikaona kivuli kikubwa kinakuja upande huku niliko (upande mwingine kulikuwa na mwanga) mzee nikaanza kujiuliza maswali kimoyomoyo kama anayekuja ni yule nayemngoja au ni mtu mwngine.

Nakuja kushtuka kumbe alikuwa ni baba kama sio babu wa yule binti kaja na panga la maana akaliinyoosha mbele yangu....daah aiseee sijawahi kutoka mbio kama siku ile ila kilichonisaidia ni ile giza hlf yule mzee alikuwa pekeeake hakuwa na majanki apo karibu, mzee nikajitoma kwene uchochoro uliokuwa hapo karibu nikatokezea mtaa wa tatu nikawa nshampoteza yule mzee na lile giza sikumwona tena akinifata. Toka siku ile hadi leo navoandika hapa sijawahi kupita mitaa ile wala kuonana na yule mrembo tena.
 
[emoji23] angekumwaga ubongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mm nikiendaga lodge na demu(regardless Ni mke wa mtu au la) naendaga na vitu vifuatavyo.

1 kisu Cha kukunja
2 bisibisi
3 lighter (naiset iwake Moto mkubwa Sana)

Ukija vibaya unaacha uhai guest/lodge

[emoji23][emoji1787][emoji13][emoji13]
 
Hata unifumanie na mkeo hiko kitu hakitawezekana. Na ili isiwezekane ama zako ama zangu, na mpaka imefikia stage hii basi intelligence yangu ya kumpeleka mkeo mahali salama imefeli. Na nikigundua kuna uwezekano wa kufail nahairisha issue nikijipanga kivingine. From the top to down
Za mwizi ni 40 tu. Hazinaga formula hizi
 
Mm nikiendaga lodge na demu(regardless Ni mke wa mtu au la) naendaga na vitu vifuatavyo.

1 kisu Cha kukunja
2 bisibisi
3 lighter (naiset iwake Moto mkubwa Sana)

Ukija vibaya unaacha uhai guest/lodge
Vitu vyote hivyo wewe fundi umeme
 
Hauwezi kupata mahakamani talaka ya hivyo kwa Siku moja. Tusiwe waongo hivyo!
Wewe. Bisha lakin nakwambia nilifanikiwa kuipata tena. ..... Chap sana ww endelea kukariri sàna kama haujui emergency can exit na ukita ushahidi njoo pm document zote zipo nike nikuonyeshe acha kubisha usichokijua

sent from HUAWEI
 
Mwaka 3 Huu natafuta talaka, talaka must be blessed or accept by a husband, kwa Tanzania haiwezekani landa Iran..................

Labda kama ulionga treni!
 
Nimewaona baunsa kafumaniwa alikuwa mdogo ka piritoni
Baunsa anamiliki mwili na kende tu,ukimiliki bunduki huwa hakuna nidhamu ya uwoga yani unajiona mkuu wa majeshi.
Mimi nlishawahi kupata msukosuko hom nlikua sipo....wezi walivamia 2009 wakamkuta mdogo wangu ndani akawahi kukimbilia chumba kingine na kujifungia.sasa wakati wanashachi rum wakakuta risasi kwenye droo wakajua dogo yuko na silaha walitoka nduki speed kma scoda
 
Ndio unafanya zinaa lakini ndio uje ujisifie huku?
 
Mbona hukunisimulia hivi umeedit
kuna pahala niliwahi safiri nikakutana pisi kali nikaipanga ikajaa, nikampa location ya lodge nilipo akawa anakuja kunifariji, kumbe alikua mke wa mtu na mumewe yupo safari...

kuna washenzi walimpigia simu mumewe akaja kimya kimya, mishale ya 3 usiku sim ya pisi ikawa inapigiwa sana hapokei mwisho nikamwambia itoe sauti akaitoa...

kumbe yule bwana yupo nje na alipga sim ajue tupo chumba gani, baadae tuligongewa hodi sana bt hatukufungua, yule bwana akawa anasema ka hamtaki kutoka napga sim police, dah! nilijawa woga kweli ikabidi nifungue liwalo na liwe.

baada ya kutoka jamaa akawa akawa anadeal na mkewe na hapo ndo nilipata upenyo wa kuchomoka, wadada jifunzeni kua wakweli kama mmeolewa ili msiwasababishie matatizo watu wasohatia.
 
Lakini unaacha kondom.

Back
Top Bottom