KANYEGELO
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,238
- 4,885
Mi nilidakwa live , nikawa mpole kabisa , jamaa akabugi maana mwanamke waliachana mwaka mzima akaja kunivizia uck namla , akataka fidia ya milion 1.3 mzee nikakubali kubali kuandika ...... Nikamwambia asubuhi nitampa ... Pamekucha asubuhi nikaenda mahakamani nikachonga mchongo mwanamke akapata TARAKA halafu ikarudishwa tarehe nyuma ... Nikamyokea jamaa simu sikulipi hela fanya vyovyote akakimbilia kufumgua kesi ya kudai fidia ya uogoni .,. Mbn nilimshinda mahakamani akaonekana alikuja kufanya fujo na alidharirisha na mke akawa kamkosa , na vitu wakagawana rasmi na yule mwanamke !! Nilipanga kumuowa na niliishi naye ila hatukudumu , kwa sasa kaolewa tena na mwanaume mwingine ila nilichojifunza usipokuwa jasiri kwenye ugoni lazima upakwe mafuta matakoni ... Ni heri uahidi uongo halafu mtaenda mahakamani mtayamaliza
sent from HUAWEI
sent from HUAWEI