Tuliowahi kukamatwa ugoni tukutane hapa

Ameshare story ili tujifunze na ndo mana akasema na majuto kama yapo. Tlmsijifanye watakatifu wkt mnavua na kuvuliwa pichu daily uko nje ya mahusiano yenu, I see nothing wrong kwa hii post, pole mkuu Ila next tm kus makini
 
Mm nikiendaga lodge na demu(regardless Ni mke wa mtu au la) naendaga na vitu vifuatavyo.

1 kisu Cha kukunja
2 bisibisi
3 lighter (naiset iwake Moto mkubwa Sana)


Ukija vibaya unaacha uhai guest/lodge
Duh we jeshi aseeee
 
Mimi ukinifumania na mkeo au demu wako jua ni Kick Tu..!!
 
Mm nikiendaga lodge na demu(regardless Ni mke wa mtu au la) naendaga na vitu vifuatavyo.

1 kisu Cha kukunja
2 bisibisi
3 lighter (naiset iwake Moto mkubwa Sana)


Ukija vibaya unaacha uhai guest/lodge
[emoji23] [emoji23]
 
Ujakutana na Mamafia ww wamekukodia mabaunsa
 
Siku hiyo kidume cha mbegu nilikuwa nakula mzigo wa mke wa mtu kwake, Mumewe alikuwa Safari. Baada ya kumaliza kula mzigo mzee nikawa nimejilaza pale kitandani huku mikono yangu nikiwa nimeiweka kwenye kakitambi kangu, nikiangalia feni juu, lililokuwa linanipa upepo. Mpango ulikuwa ni kulala palepale maana ilikuwa ni siku ya tatu nalala pale, mumewe ni dereva wa magari makubwa na alikuwa safarini.

Mke wa Mtu Akiwa kaniwekea mkono kifuani ghafla tukasikia mlio mzito kama bomu!! Mlango wa getini ulipigwa na kitu kizito nahisi ilikuwa ni jiwe fatuma. tukahamaki maana matusi yalianza kuvurumishwa moja kwa moja kutoka getini kuja upande wetu, ndani. mke wa mtu akaniambia kuwa ile ni sauti ya mumewe, ila sauti zilikuwa nyingi yaani kilikuwa ni kikosi cha wanaume, wanawake watoto wazee.

Bahati nzuri lile geti lilikuwa imara muda ambao mimi nilikuwa nafanya majadiliano na mungu wangu kujua nanusurikaje au ndo basi tena narudi kwenye ghetto la kudumu. Nikatoka nje kwa mlango mwingine wa dining ila nyumba ilikuwa na Wigo na vyupa, hivyo kuruka wigo ilikuwa haiwezekani!. kama mnavyojua viwanja kwenye miji mingi hapa tz havijanyooka yaani havina square, mzee nikawa nimejificha kwenye mti wa mlimao ambao ulikuwa nyuma kwenye pembe ya nyumba ile ile, Wale jamaa baada ya kuingia ndani hawakunikuta hivyo wakajua lazima nipo mle mle ndani nimejificha mahali.

Nikiwa juu ya ule mlimao nikasikia kama minong'ono ikisema "yupo hapa hapa huyu hapa hapa" Kidume kuangalia hivi chini nikaona vivuli vinavyoonekana vinakuja upande niliopo, Vivuli vina misuli ya kubeba vyuma, kivuli kimoja kimebeba rungu la mchezo wa baseball, kingine mnyororo, kingine kimepanua mikono kama mzimu vikinyata kuja upande wangu.

Nilipandwa na hofu kuu ila nikajipa ujasiri wa kupambana kiume, nilishika vizuri shati niliyokuwa nimeishika mikononi, kisha kama chui niliruka kutoka pale kwenye mti kuelekea kwenye wigo wa chupa uliokuwa nyuma yangu nikatumia ile shati kama kinga ya vyupa mikononi na kurukia upande wa pili ambako kulikuwa na nyumba nyingine ya watu, nikatoka nduki nikipita kibarazani kuelekea gizani nikiwa na majeraha kadhaa mwilini ya chupa, kwenye ile nyumba hakukua na mtu yoyote ndani, majirani wengi wa karibu walikuwa upande wa ile nyumba niliyotoka kumkamata mgoni. Nilikimbia kama swala baada ya kufika getto nikabeba begi langu na Radio cassete yangu kisha nikatokomea kusikojulikana hadi leo sijarudi mji ule..
Repost from America ninja
 
[emoji23][emoji23][emoji23]uzinzi unatesa mno watu hivi unaendaje kuchepuka kwenye nyumba ya mwanaume mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23]haki wangekukamata ungekufa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee nmecheka kinoma!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Na ungedakwa ndio ungejua unafiki wa shetani. Yaani anakushawishi utembee na mke wa mtu, ukidakwa anahamia kwa mwenye mke anamshawishi akutombe.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ungedakwa ndio ungejua unafiki wa shetani. Yaani anakushawishi utembee na mke wa mtu, ukidakwa anahamia kwa mwenye mke anamshawishi akutombe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji1787] Kaka umetishaa boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…