Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani akizeeka huwa malaika!Shetani uliezeeka hi![emoji2772][emoji2772][emoji2772]Nunua mafuta ya babe care..tembea nayo
Thank me later
mkuu ujue ka hujui si rahisi kua makiniNa hawawezi kuwa wakweli akikwambia ameolewa unampotezea ndo maana wanadanganya, Cha msingi ni kuwa makini tu..
HahahaaaaaNa ungedakwa ndio ungejua unafiki wa shetani. Yaani anakushawishi utembee na mke wa mtu, ukidakwa anahamia kwa mwenye mke anamshawishi akutombe.
[emoji23][emoji23][emoji23]napita kote hukoWe Dada majukwaa yote ni yako...naona kila kona upo??umenishinda tabia
Huyu acha yampate mabaya tu kenge hasikii mpaka atokwe damubinadam sote tuwakosaji hivo tusiwaombee mabaya or kuwahukum wenzetu, AMIIN
Huyo mumewe boya angekula sahani moja na wewekuna pahala niliwahi safiri nikakutana pisi kali nikaipanga ikajaa, nikampa location ya lodge nilipo akawa anakuja kunifariji, kumbe alikua mke wa mtu na mumewe yupo safari...
kuna washenzi walimpigia simu mumewe akaja kimya kimya, mishale ya 3 usiku sim ya pisi ikawa inapigiwa sana hapokei mwisho nikamwambia itoe sauti akaitoa...
kumbe yule bwana yupo nje na alipga sim ajue tupo chumba gani, baadae tuligongewa hodi sana bt hatukufungua, yule bwana akawa anasema ka hamtaki kutoka napga sim police, dah! nilijawa woga kweli ikabidi nifungue liwalo na liwe.
baada ya kutoka jamaa akawa akawa anadeal na mkewe na hapo ndo nilipata upenyo wa kuchomoka, wadada jifunzeni kua wakweli kama mmeolewa ili msiwasababishie matatizo watu wasohatia.
dah! hapa sitii neno, mkuu hujambo lakin?Huyu acha yampate mabaya tu kenge hasikii mpaka atokwe damu
Mwenye mke kakuuliza 'bado unaendelea nae???Kwahiyo bado unaendelea naye...!
Ukifumaniwa hata ukiwa na bastola hutakuwa na nguvuMm nikiendaga lodge na demu(regardless Ni mke wa mtu au la) naendaga na vitu vifuatavyo.
1 kisu Cha kukunja
2 bisibisi
3 lighter (naiset iwake Moto mkubwa Sana)
Ukija vibaya unaacha uhai guest/lodge
Mimi sijambo sijui wewedah! hapa sitii neno, mkuu hujambo lakin?
mkuu mungu ni mwema alinilinda coz hakunambia ka ameolewa, mimi nawaheshim sana wake za watu.Huyo mumewe boya angekula sahani moja na wewe
Kumbe aliyemtatua marinda sasa nimemjua, kwani OKW BOBAN SUNZU hana marinda kabisashukuru sana hukudakwa ungekuwa huna marinda sasa.
Ukifumaniwa hata ukiwa na bastola hutakuwa na nguvu
Nimekupenda bure cariha !Huyu acha yampate mabaya tu kenge hasikii mpaka atokwe damu
mi pia mzima mkuu, umeadimika kiasi hapa ndani.Mimi sijambo sijui wewe