Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Vizuri SanaSiwezi fanya hiyo kazi, sipangii mtu na hela yake to i, can never happen mazee π π hata niwe billionaire
Ndiyo ndiyo mkuuVizuri Sana
Ni kweli Mkuu, hata hivyo kutoa milioni 1.5 Kwa Kei ya kupiga usiku mmoja pekee lazima hela yangu iniume πLabda show iwe mbovu ila Kwa umri wa uzee inabidi ujifikirie wewe zaidi sio kuanza kuwafikiria wajukuu ambao baba na mama zao ni watu wazima
Maana k yenyewe mnapiga watu kibao labda ungekuwa pekeakoNi kweli Mkuu, hata hivyo kutoa milioni 1.5 Kwa Kei ya kupiga usiku mmoja pekee lazima hela yangu iniume π
Hakika MkuuMaana k yenyewe mnapiga watu kibao labda ungekuwa pekeako
Mie kila baada ya miezi minne, You Know! Naenda kupima, raha ya hivi vitu ni kuepuka kupata std's..
Fantasy mzee, Mimi Mwanamke akiwa predator na Intelligent automatic tu ananivutia Regardless uzuri wake mfano Nisikia mwanamke ni Kiongozi Mkubwa let say wa taasisi automatic tu nakuwa attracted nae Hela ntampa na Mkia NtamchapaDah! Eti nitoe 300k au zaidi kisa ni maarufu? Mtaani Kuna pisi Kali balaa, hao wasanii wakasome.
kabisa kiongozi, ni ulimbukeni wa hali ya JuuKuna jamaa mmoja anaitwa BAMBA .
huwa anasema siku zote kuwa uume haujawahi tosheka.
Haya mambo hayana tuzo....
Unaweza ona kama wenzako wanakuonea wivu ila haya mambo ni ulimbukeni mkuu...
Kwa sasa mi nimetulia
KUna blaza wangu kafanya hayo mambo sana ila end of day nikaja kumwambia tofauti ya mimi na wewe ni nini...kabisa kiongozi, ni ulimbukeni wa hali ya Juu
ama kweli hatufanani mkuu, ila mimi niseme Afya ya akili pengine haiko sawa. utoe laki 3 kwa ajili K? kwani utofauti uko wapi kati ya mtu maarufu na ambaye si maarufu,KUna blaza wangu kafanya hayo mambo sana ila end of day nikaja kumwambia tofauti ya mimi na wewe ni nini...
Je kuna kitu umenizidi
Majibu yake ni kujuta tu..
Wanamutisha tuu mzeya mbona mbususu buku 3 unapata na buku 25 unapewa hadi mtaroAisee kumbe starehe ya ngoni ni gharama hivyo!
Bro upoVizuri Sana
Hapa ndipo mnapokosea....starehe huwezi compea maana ile ni feeling bwana....ni sawa na kumuuliza mnywa pombe eti sasa wewe unanizidi niniπ€£π€£π€£π€£π€£KUna blaza wangu kafanya hayo mambo sana ila end of day nikaja kumwambia tofauti ya mimi na wewe ni nini...
Je kuna kitu umenizidi
Majibu yake ni kujuta tu..
Nipo mkuu duu sio mchezo nasubir muda hapa uishe niende nyumbaniπBro upo
Nakula pombe toka karibu siku nzima now kwangu ni saa 8 usikuNipo mkuu duu sio mchezo nasubir muda hapa uishe niende nyumbaniπ
Ndio hapo Sasa..Kutaja mtu uliowahi kutoka nae ni utoto wa kishamba.
ππππ Nakumbuka ulinambia nikiwa napiga gambe nisichati na simu.Nakula pombe toka karibu siku nzima now kwangu ni saa 8 usiku